"AI (Artificial Intelligence) inachukua nafasi kubwa duniani – kutoka kwenye kazi za uandishi hadi huduma kwa wateja. Lakini je, kwa Afrika na hasa kwa vijana wetu, hii ni FURSA au TISHIO kwa...
Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye...
Tanzania salama tuachane nazo tuu.
Wana jf naomba kuuliza nani anazifahamu vizuri au ameshawahi kuzitumia hizi tv za kichina za GSDA, uzuri wake na ujinga wake?
Kuna mdau aliwahi kuandika tablet ya google ya bei rahisi google nexus 7 sio vibaya tuka update zaidi kwa kuongezea tablet 2 nzuri zaidi kwa urahisi kuliko google nexus.
amazon kindle fire
Bei...
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao...
Ukweli ni kwamba kila kifaa cha kieletroniki uonyesha dalili kabla ya kuharibika kwake, lakini watu wengi wamekuwa wakipuuza dalili hizo.
hatimaye kifaa uweza kufa bila kujua kuwa kifaa icho...
habari ya kazi wadau.
samahani jana kuna mdau mmoja aliweka flash yake kwenye pc yangu kuhamisha muvi. sasa alipotoa tu mafaili yote yakawa hayafunguki. mfano nyimbo zote zikawa haziplay, word...
Katika dunia ya kidijitali ya leo, kila mtu ana nafasi ya kusikika. Ikiwa una mawazo mazuri, habari, elimu au kipaji cha kipekee – blog inaweza kuwa njia bora ya kufikisha ujumbe wako kwa...
Wakuu nimeletewa zawadi ya Iphone sasa natafuta pa kuweka delivery report sipaoni hata Kuset zile call forwding kama Unreachable au Busy call iwe forwaded pengine sipaoni pia msaada please
Yeah hujakosea tittle.
Samsung leo wamezindua Galaxy S25 EDGE ikiwa ni miezi mitatu tokea Galaxy S25 ya kawaida izinduliwe.
Hii Edge ni Special Edition ili ije kupambana na iPhone 17 Air...
Nianze na Pale Mjini YouTube
Uki search " Jinsi ya kutengeneza Software " saaana inakuja Youtube Channel Ya NK -- NK- Computer Training,, kwa wingi sana, na Uki Muuliza ROBOT yoyote au wengine...
Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, kuwa na tovuti au blog si anasa tena — ni hitaji. Na unapofikiria kuanzisha tovuti, jina moja linalojitokeza mara kwa mara ni WordPress. Lakini WordPress ni...
Wadau ..kwema
bado kumekua na mijadala mingi sana kuhusu Programmers au developers wa Kibongo lakini nitaelezea hapa matatizo kulingana na uzoefu wangu nitaelezea Sababu tatu tuu...
Tofauti Kati ya .tz na .co.tz Domain: Ulinganisho na Uchambuzi
Tanzania ina mfumo wake wa domain inayosimamiwa na Tanzania Network Information Centre (tzNIC). Kupitia mfumo huu, biashara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.