Nimetumiwa link ambayo ni video clip sasa nataka ni download iingie kwenye simu kama video zingine nafanyaje wadau
https://youtube.com/clip/Ugkx_ViWoPek1CWrvf5neyJnxVdvI-ySK50H?si=6m-ykzOiXRW6R2MO
PART 2 EP01
Tuijue Laptop Na Tuifungue Kisha Tuifunge.
Wasalaam Wanandugu:
Tumekutana Tena Katika Darasa Letu Huru La Laptop Repair, Na Part 2 Hii Tutakuwa...
Dunia imebadilika. Teknolojia haiko tena kwa matajiri au mataifa makubwa tu—imeingia mitaani, vijijini, hata mifukoni mwetu kupitia simu za mkononi. Na katika mabadiliko haya, vijana wa Afrika...
Tangu kasi ya 4G ianzishwe, hakuna brand hata moja ya kiafrika iliyotoa simu ya 4G yenye betri kuanzia 5000mAh, kwa mara ya kwanza, Itel Mobile imeweka historia hiyo kwa kutangaza simu ya 4G yenye...
Al ipo kwa kasii sana Windsurf, cursor, trae etc zipo nyingi ipi umewahii kutumia unaweza kutoa suggestions kwa wale ambao wapo kwenye game ya software development itasawasidiaa.
Hello, Guys najua wafanya biashara wengi sana hawana website na wanafikiri kuwa kwao kuwa na website yake (Online Store) kama haina umuhimu au kuona kuwa kumiliki website mpk uwe na biashara...
Wapenzi na wadau wa Samsung.
Jana usiku Wakorea walitoa vitu vyao vutatu vya mwaka 2025, Samsung Galaxy S25, S25+ na S25 Ultra.
Ya kuongea ni machache kwasababu ni upgrade ndogo kutoka S24...
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Nahitaji wataalam wanisaidie please. Kwa sasa nina Smart Tv hii ipo Sebuleni.
Nahitaji kununua Tv nyingine kwa ajili ya Chumbani. Angalau nipate 60"...
Ya DSTV mafundi wanadai kwa sababu ilitumia kitambo ndio maana ilipoteza software, inaandika booting waiting for some times.
kila mara booting, naomba ushauri nirudishe au kama inatibika...
SpaceX mara ya kwanza walikuwa na madhumuni ya vyombo vyao vitakuwa vikifanya safari ya kwenda sayari ya marsi.
Ila kwa pesa walizoweka na mikopo jamaa kaona kwanza huduma za kutumia vyombo vyake...
💡China wako mbele ya muda Aiseeeh!!!!!
💭 China imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee ulimwenguni baada ya kuwa nchi ya kwanza kujenga nyumba ya ghorofa 10 yenye ndani ya saa 28 imekamilika na...
Habari wana Technology,
Nipo Dar, nilipenda kupata huduma ya unlimited kwa Vodacom.
Kabla ningependa kujua kwa wanaotumia, wana maoni gani kuhusu huduma hii.
Na pia kulingana na ufuatiliaji...
Wale wapenda game ni wasanue tu kuhusu mambo ya biashara yalivyo.
Makampuni yamekuwa konde boy sasa kila kukicha kuachia kitu kipya wabaki kushindana kwenye soko.
Nimefatilia kwenye mijadala ya...
Habari wadau na wataalamu wa masuala ya software. Mimi ni mwalimu ambaye natafuta Online Examination Software kwa ajili ya wanafunzi wangu kufanya test/mitihani online kwa kutumia Simu au tablet...
Wakuu salam.
Mimi ni mwanafunzi wa Electronics and Telecommunication Engineering DIT ,Naomba yeyote mwenye connection na kampuni inayojihusisha na mawasiliano ama Taasisi zenye idara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.