Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Format factory Software (image, audio, video) - 20,000 Tsh *Sifa zake Video converter video downloader Picture converter Audio converter Document manipulation Mawasiliano: 0756704145 Eneo...
1 Reactions
1 Replies
532 Views
Mimi nimekulia kwenye simu zile za kukoroga kama unapiga hendeli Hizi simu za smart sizijui sana. Simu yangu haliishi lisaa inaniambia kuna junk files nizifute Nikiangalia unakuta junk zinakuwa...
0 Reactions
11 Replies
549 Views
Unahitaji nini usaidiwe kwenye IT industry? Software, website,blog, ads, email na n.k Karibu usaidiwe unachotaka kwenye IT kama maswali utajibiwa Mawasiliano:0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
0 Reactions
1 Replies
263 Views
There are many ways to create videos for YouTube. The favorites ones include using a Flip camera or recording a PowerPoint presentation using Camtasia screen capture software. But there are many...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
USINUNUE LAPTOP MPYA KABLA HUJASOMA HII MAKALA MWONGOZO WA 2025 KWA KINA Kununua laptop si tu suala la bei au jina kubwa. Ni uwekezaji. Na kama ilivyo kwa uwekezaji wowote — unahitaji maarifa...
9 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika dunia ya leo ya kidigitali, social proof ni kila kitu. Watu wanataka kuonekana wanafuatiliwa, na biashara nyingi zinahitaji followers ili kuwashawishi wateja wao. Hii ndiyo sababu kuu...
1 Reactions
11 Replies
819 Views
Kila mfanyabiashara ana ndoto ya kuona mauzo yakifumuka hadi target aliyoweka — iwe ni kuuza bidhaa 100 kwa wiki au kufikisha milioni 10 kwa mwezi. Lakini ukweli ni kwamba wengi hushindwa sio kwa...
3 Reactions
4 Replies
581 Views
Windows App Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh. Programu ya kuedit, kutengeneza na kazi zingine za PDF faili. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
1 Reactions
4 Replies
361 Views
Matumizi ya akili mnemba yaani artificial intelligence (AI) yakiendelea kukua kwa kasi binafsi nadhani ni wakati sahihi mtandao wa jamii forum kuwa na AI yake kama ilivyo kwa grok ya X(zamani...
7 Reactions
15 Replies
920 Views
Wakuu habari, Naomba msaada wa maarifa kutoka kwa yeyote anayeifahamu huduma ya benki au mobile money inayoruhusu kuweka akiba ya muda maalum (fixed-term saving) kwa mfumo ufuatao: Nijiwekee...
0 Reactions
3 Replies
485 Views
Programu gani unahitaji ya windows OS? Adobe Master Collection 2025 - 30,000 Tsh Microsoft Office Pro Plus 2019 - 20,000 Tsh Activator ya Windows + Office - 20,000 Tsh Nitro PDF Pro 2025 -...
0 Reactions
4 Replies
372 Views
Web 3 ni neno linalotumika kuelezea hatua ya tatu ya maendeleo ya mtandao ambayo inatarajiwa kubadilisha jinsi tunavyotumia intaneti. Ili kuelewa Web 3, hebu tuchukue hatua nyuma kidogo na...
1 Reactions
0 Replies
379 Views
Jaman watanzania nahamasisha muamko katika teknolojia ya masjala mtawanyiko(blockchain technology ) kwa sababu kuna baadh ya nchi za Afrika zimepiga hatua katika hii teknolojia na zinaitumia...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Je umewahi kusikia teknolojia ya masjala mtawanyiko(blockchain technology)??
0 Reactions
2 Replies
285 Views
Najua unatumia simu yako katika kufanya mambo Mbalimbali lakini Kuna feature ambazo ni muhimu kuzizina ikiwa wewe ni mmoja wa watu wanaopenda ku type kupitia keyboard kwenye simu. Kuna kitu...
1 Reactions
3 Replies
504 Views
Teknolojia na Uboreshaji wa Huduma za Afya: Telemedicine na AI Katika dunia ya leo, teknolojia imekuwa na athari kubwa katika sekta ya afya, na mabadiliko haya yameongeza upatikanaji wa huduma za...
2 Reactions
2 Replies
646 Views
Windows 11 OS Genuine Installation - 20,000 Tsh Napatikana: Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145 Kama unahitaji programu za Adobe, Office, Activator za windows OS zipo
1 Reactions
4 Replies
411 Views
Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Naombeni ushauri!Nataka kutumia umeme kupikia!Je kifaa hicho kinafaa kwa jiko la umeme?Nina mafundi wawili hapa wanabishana balaa!Ningependa kupata ushauri kutoka kwenu!!
2 Reactions
15 Replies
618 Views
nahitaji kwenda kununua usb type c cable ya kuchaji simu, naombeni ushauri wenu
1 Reactions
13 Replies
701 Views
Back
Top Bottom