Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Tanzania imepiga hatua kubwa sana kwenye digital payments. Kuna makampuni mengi sasa yanatoa huduma za malipo ya kidigitali, API integration, na hata disbursement kwa makampuni na wajasiriamali...
0 Reactions
2 Replies
404 Views
Habari ndugu Wana JF ,nilinunua simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine kwaiyoo nataka kuwauzia kioo ch Google pixel 5A kwa sh 230,000
4 Reactions
25 Replies
1K Views
HABARI WAKUU NAOMBA MSAADA WA KUFUNGUA TWITTER KILA NIKIFUNGUA INALETA NI VERIFYING ILA NIKIJALIBU HAIKUBALI SHIDA NINI WAKUU HAPO?
0 Reactions
1 Replies
355 Views
UVUJAJI MKUBWA WA NYWILA ZAIDI YA BILIONI 16: CHUKUA HATUA SASA KABLA HUJADUKULIWA Na MalekoGJ Juni 2025 Katika tukio linalotajwa kuwa mojawapo ya uvujaji mkubwa kabisa wa taarifa katika historia...
1 Reactions
4 Replies
502 Views
Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda Jibu rahisi ni ndyo ?? Sounds like sci-fi? It’s not. It’s real, it’s dangerous...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Watu wengi mmeshawahi kutumia app ya Shazam, mnajua jinsi gani inavyofanya kazi katika kutafuta audio Mbalimbali kwa ajili ya kupata kile unachokisikia mahali na kutaka kujua aliyeimba ni nani nk...
1 Reactions
7 Replies
547 Views
Windows OS + MS Office Activator - 20,000 Tsh, jipatie activator ya Windows OS 7, 8, 10, 11. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145 Adobe Master Collection 2025 -...
1 Reactions
4 Replies
480 Views
Microsoft Office 2019 Pro Plus kwa ajili ya windows OS kwa bei ya 20,000 Tsh, unapewa leseni ya milele hakuna malipo ya mwaka. Napatikana: Mkoa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145 Kama...
2 Reactions
2 Replies
363 Views
Adobe Master Collection 2025- 30,000 Tsh Napatikana: mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
2 Reactions
8 Replies
395 Views
Habari wana jamvi poleni kwa miangaiko na kwa yanayoendelea nchini. Bila ya kuwachosha niende moja kwa moja kwenye point. Naombeni wadau wa taaram wa mambo ya tehama kuanzia mfumo mpaka vifaa...
0 Reactions
4 Replies
492 Views
Tupeane app mbali mbali ambazo n ngumu kupata bure apple store 1.Youtube downloader 2.Music 3. nk nb: Sina iphone 16 waungwana msije mkajaa makasiriko
5 Reactions
8 Replies
668 Views
Source: Twitter 1. Notch kubwa kwenye iPhone Flagship za Apple kama iPhone X series, 11 series, 12 series na 13 series zimekuwa zikija na notch kubwa kwa juu kwenye display ambayo imekuwa...
30 Reactions
71 Replies
10K Views
What Ai AI stands for Artificial Intelligence, which refers to the ability of machines to perform tasks that typically require human intelligence, such as learning, problem solving, perception...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Windows 10 Genuine Installation - 20,000 Tsh Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
0 Reactions
2 Replies
270 Views
Watalamu wa tech nipeni suggestions. BRands kama Samsung na Xiaomi. Chief-Mkwawa ,
3 Reactions
10 Replies
561 Views
Wakuu katika pita pita zangu nimekutana na hii Mic je katika kazi zangu za Online TV itanifaa
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari wakuu, Kuna kitu kimoja ningependa kuwauliza wataalam wa JF , Hivi ni huduma Gani ambayo inawezesha ku display jina la biashara Kila unapopiga namba ya sim yako , Kuna watu kadhaa...
0 Reactions
2 Replies
403 Views
Ruby ni moja language ipo underrated sana na developer wengi Side project nyingi hasa web development na API mimi huwa natumia ruby, pia nichanguo langu la kwanza Ni mara chache sana unakutana...
1 Reactions
2 Replies
473 Views
Pata Adobe Photoshop 2025 kwa 20,000 Tsh. Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
1 Reactions
5 Replies
317 Views
Nimekua nikitumia simu hii kwa muda mrefu tangu mwaka 2019 hadi nilipopata changamoto ya kugoma kuwaka baada ya kuinstal App ya kudownload content mtandaoni ambayo niliitoa nje ya playstore...
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Back
Top Bottom