Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Natangaza kuja na mtandao mpya wa kijamii nchini tanzania kwa lengo la kuchochea ukuaji wa kiteknolojia na kuleta ushindani dhidii ya Facebook, Instagram na Twitter pamoja na tiktok. Mitandao hii...
4 Reactions
17 Replies
826 Views
  • Solved
Mnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
0 Reactions
9 Replies
816 Views
Google Yalipa Dola Bilioni 1.375 kwa Jimbo la Texas kwa Kufuatilia na Kukusanya Taarifa za Biometria Bila Idhini Google imekubali kulipa jimbo la Texas nchini Marekani kiasi cha dola bilioni...
0 Reactions
1 Replies
350 Views
Wadau wa technology: Software Robotics AR & VR technology Mobile Computing Tech in Health Nk. Predictors (Pattern recognitors) wa tujadili next gen tech
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Jinsi ya kutumia 'variables' katika Java! , usikose video hii muhimu! Iwe wewe ni Mpya au tayari una uzoefu, video hii itakufundisha: Maana na umuhimu wa 'variables' katika Java: 'Variables'...
1 Reactions
4 Replies
435 Views
Kwa Nini Ujifunze Java Datatypes, Operators, Strings na Numbers? Hizi ni Kama blocks kwa ajili ya ujenzi wa Program yako. Vitakuruhusu kuunda programu thabiti na bora. Hapa kuna baadhi ya faida za...
1 Reactions
0 Replies
258 Views
Naomba kuulizia, kuunganisha solar panels mbili mfano panels za wat 50, na kuweka panel moja ya wat 100, katika nguvu ya ujazaji wa betri. Je, Kuna utofauti?
1 Reactions
4 Replies
601 Views
Hard disk ni ya laptop nimeiweka kwenye kasha limeandika Usb 3.0 ila waya wake ulikuwa mfupi, nikaunganisha huo waya na waya mwengine mrefu wa kuchomekea flash na external, waya nao umeandikwa usb...
0 Reactions
12 Replies
675 Views
Habari zenu wanajf. Nahitaji msaada wa kupata kifaa kwa ajili ya matumizi ya camcard kwa samsung tv. Kuna port nyuma ya TV lakini inahitaji adapter ili kupokea Camcard. Kwa yeyote anayefahamu wapi...
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Nimeuliza hivi coz sio expert ktk Programing ila nina ufaham na nazid kuprogress ktk hii career na ni raha hiki kipind cha AI inafanya bugs kua rahis kusolve.. 😀😀 so Let's talk about it..
1 Reactions
15 Replies
595 Views
⚡ Kama utakua unatumia app ya Google photo nazani unaijua jinsi inavyofanya kazi kupitia simu zetu si ndiyo !! 💭 Sasa Google photo wameleta feature mpya inaitwa Quick Edit inakupa nafasi ya...
2 Reactions
4 Replies
504 Views
Kama umekuwa ni mtumiaji wa hizi cryptocurrency exchanges kama OKX, BYBIT au Binance kwenye kufanya transaction za cryptocurrency basi utakuwa umegundua kuwa P2P au Peer to peer trade ( Biashara...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
“Simu Yako Inaweza Kukutajirisha… au Kukufilisi Kuna Njia 11 za Kutambua Fake Bank Transfers Kwa Uhakika na Kitaalamu ” Katika zama hizi za digitali, pesa inaweza kuingia au kutoka bila kuguswa...
3 Reactions
0 Replies
349 Views
Habari FIFA 23 la PC pad controller zimenigomea msaada jinsi ya kuactivate
0 Reactions
4 Replies
500 Views
Hii Ndio Sababu Kila Mtanzania Anapaswa Kujua Siri ya Wi-Fi Guest Network! Katika ulimwengu wa kisasa wa teknolojia, nyumba nyingi zimejaa smart devices kama vile robot vacuum, Smart TV, printer...
5 Reactions
2 Replies
798 Views
💡 "Huenda usihitaji iPhone miaka 10 kuanzia sasa,” alisema Eddy Cue, Apple SVP of Services, wakati akitoa ushuhuda kama sehemu ya kesi ya Google ya kutokuaminiana kuhusiana na masuala ya...
0 Reactions
4 Replies
429 Views
Kuna ka group ka darasa la saba nimewekwa hata sielewi lengo ni ipi! Sasa wakati mwingine inakuwa active sana lakini inaweza kata miezi kadha bila kuwa active. Sasa naona kero sana halafu itoshe...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Katika dunia ya sasa iliyojaa teknolojia ya hali ya juu, kazi nyingi zimechukuliwa na Akili Bandia (AI). Kampuni kubwa zilikuwa zimeanza kutumia AI kuandika programu, kurekebisha hitilafu, na...
9 Reactions
33 Replies
1K Views
Jinsi ya Kuzalisha Umeme wa Upepo na Umeme wa Jua kwa Kutumia Treni Ikiwa Kwenye Mwendo wa Kasi Kutumia treni za mwendo wa kasi kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua ni wazo la kiubunifu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom