Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
Wakuu naomba maelekezo jinsi ya kutuma salio kwa jamaa mwenye Airtel kwa kutumia USSD code zinazoanza na * (star), kama ilivyo ya tiGo; yaani: *101*number*amount# {kisha send}.
Naomba maelekezo ya njia hii maana ile ya "Me2U" kwenye menu yao ambayo humalizia kwa kuweka pin inanizingua!!
Ahsanteni.
Naomba maelekezo ya njia hii maana ile ya "Me2U" kwenye menu yao ambayo humalizia kwa kuweka pin inanizingua!!
Ahsanteni.