Samsung a70, 6.7'', 4500mAh and other reviews. Nijulisheni bei

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,727
2,000
Katika pitapita zangu nimepjikuta napendezwa na simu tajwa hapo juu.

Naomba kufahamishwa bei hapa nchini au kuagiza.

Naomba kufahamishaa kuhusu weakness zake.
Nimeona ipo pia a80 ila betri wameshusha ujazo.
samsung-galaxy-a70.jpg

Wapi kwa hapa tz naweza kuipata?

NB. Kilichonivutia ni ukubwa wa screen na betri mengine tutavumiliana.
 

white hat

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
3,332
2,000
Karibia maduka mengi ya simu hiyo simu inapatikana hasa maduka ya samsung au online shop za hapa nyumbani
 

Mr Misifa

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
255
500
Tafuta Samsung m30s zimetoka sjajua kama huku dunia ya tatu kama zimeshafika labda uagize online ina ujazo wa 128 na ram 6 kama skosei na betri ya 6000mah
Screenshot_20191009-202201_Chrome.jpeg
 

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,727
2,000
Tafuta Samsung m30s zimetoka sjajua kama huku dunia ya tatu kama zimeshafika labda uagize online ina ujazo wa 128 na ram 6 kama skosei na betri ya 6000mah View attachment 1227929
Samsung wameamua kufungulia sasa habari za kufungamanishwa na chaja naona zinaenda kufa.

Shukran kwa mchina ambae alihamishia powerbank kwenye simu zao na kuwa inbuilt battery :D:D:D:D:D

Naona wakongwe nao wameamua liwalo na liwe
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,325
2,000
Samsung wameamua kufungulia sasa habari za kufungamanishwa na chaja naona zinaenda kufa.

Shukran kwa mchina ambae alihamishia powerbank kwenye simu zao na kuwa inbuilt battery :D:D:D:D:D

Naona wakongwe nao wameamua liwalo na liwe
Mchina huko aliko anajuta maana upele umekutana na wakunaji.

Yaani niko na a10 mpaka nashangaa,sijui hao kaka zake wanafananaje
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom