Nawezaje kubadili bitcoin kuwa pesa haraka

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Nilianzisha maada hii wiki iliyopita baada ya boss wangu mpya kuwa na njia za malipo ambazo kibongo bongo ni kazi kuwith draw mpunga

Leo nikaona ana option ya kulipa kwa bitcoins, nikaona huenda hii ikawa ndio njia effective

Je, nitawezaje kubadili bitcoin ziwe pesa ndani ya muda mfupi
 
Tengeneza account localbitcoin

Huko kuuza dakika 5 tu pesa unayo mkononi

Kiasi chochote
 
Back
Top Bottom