Wenye kujua kuhusu tv za flat screen (LG)

Wenye kujua kuhusu tv za flat screen (LG)

naomba kazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
253
Reaction score
213
Nataka kununua Tv, inchi 43 isiwe SMART tv kampuni ya LG, je ni vitu gani vya ziada vya kuzingatia, je ntakuaje tv original ya kampuni ya LG

Msaada wenu
 
Nenda kwa dealers Wakuu.pia jaribu kugoogle specs zinazotofautisha og na fake
 
Nenda kwa dealers aisee usijichanganye kununua Maduka ya mtaani watakupiga fake, hzi tv zina tabia ya kupitisha mstari katikati au vidots vya miale ya mwanga ndani ya screen
 
Nenda kwa dealer wa LG Tanzania ambae ni Metl. Show room yao ipo mtaa wa Nkrumah kule mjini (CBD).
IMG_20191013_102543.jpeg
 
Nataka kununua Tv, inchi 43 isiwe SMART tv kampuni ya LG, je ni vitu gani vya ziada vya kuzingatia, je ntakuaje tv original ya kampuni ya LG

Msaada wenu

Nina tv LG size 43 ya 2019, Iko poa sana, Ina screen cast ambayo unaweza kuangalia video kutumia cm yako, Ina WiFi internet, Ina YouTube na option nyingine kibao!

Nunua mkuu hautajutia
 
Nina tv LG size 43 ya 2019, Iko poa sana, Ina screen cast ambayo unaweza kuangalia video kutumia cm yako, Ina WiFi internet, Ina YouTube na option nyingine kibao!

Nunua mkuu hautajutia
Hiyo Mkuu ulinunua wapi na kwa bei gani?
 
Back
Top Bottom