i 37
Senior Member
- Dec 6, 2018
- 155
- 56
Kwa mwenye utaaalamu kuhusu izi printer za kuprintia vitu kama
Vehicle wraps
Floor graphics
T shirt
Sweatshirt
etc.
Msaada nataka nunua printer moja ambayo itafanya kazi zote na kwa uhakika [ all in one]
Kwaaanae jua kampuni yenye iyo printer ambayo nibora na inadumu kwa mda mrefu na yenye uwezo wakufanya graphic za aina zote