Esrom makono
Senior Member
- May 11, 2019
- 121
- 76
Naomba msaada wataalama wa pc kama kichwa cha uzi kilivyo.
pc yangu inaandika window lisence will expire soon activate it.
Sasa kila nikienda setting kui activate inazingia nifanyeje?