Habr wadau, Nauza Hp Elitebook laptop bei kitonga laki na 20 ,,laptop ina Features kama 500Gb Hdd ,4gb Ram, icore 2 duo windows 7 ultimate Tatzo lake ipo slow na battery haikai na charge mpk...
Habari za usiku wana JF,
Wadau naombeni msaada juu ya tatizo hili, kwamba katika simu kila nikienda Google Playstore ili nii pakue Apps za Facebook, messenger ama Facebook Lite naambiwa kuwa...
Naomba kuuliza hili swali maana so far naona kila kampuni na kila freelancer ana bei zake kutokana na yye anavyojiona, naombeni wazoefu mnisaidie hapa, on average, typical price ya website nzuri...
Wakuu,tushirikishane mobile games bora tulizowahi kucheza...Kwa upande wangu ni DREAM LEAGUE SOCCER na TRAFFIC RIDER!#
UPDATES:kutoka post za wadau
-Gunship battle
-Public traffic
-Euro truck...
wakuu natumia 3G ya Vodacom sasa nataka nifanye mchakato wa kuhama kwenda 4G LTE.
Je kuna mabadiliko yoyote ya kasi ya mtandao nilihamia 4G?
Gharama na process zake ni zipi?
Shukrani.
Habarini wadau
Nilipoteza IPhone yangu kila nikiitrack nakuta ipo offline ila leo kuna alert nimepata kwa email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone" msaada...
computer yangu imepatwa na tatizo baada ya kuchekwa flash baadhi ya folder na file zinajitengeneza shortcut ata ni delete azikubali au zinarudi.naitaji msaada wenu jinsi ya kutatua tatizo hili...
Maelezo haya yapo kwenye video
If you do not have a thing to pay me just smile then subscribe to my channel Start button fails to work several times .Because of HANDLE FILE inside the miracle...
Najua 5000 ni hela ndogo sana, ila kwa yeyote mwenye Chimera Tool flasher Full cracked naomba anisaidie, nitamfuta jasho kwa vocha ya kutumia.
Natanguliza shukrani
Apps zifuatazo ni hatari zaidi kwa uhai smartphone yako
Du booster,Clean master na 360 security
Du booster na clean master zinafanya kazi ambazo wengi wetu
tunazisifia kuwa zinapandisha speed ya...
Ndgu wana jf:
Kama kichwa cha habari inavyoeleza apo juu naombeni msaada wa jinsi ya kuunganisha desktop yangu na photocopy machine aina hiyo apo juu, kwani nimepakua driver setup yake lakini...
Wadau nimejaribu kutumia Uber-app naona "Places Autocomplete Feature" yake ina uwezo wa kutoa suggestions za maeneo mengi na kwa usahihi wa juu zaidi ukilinganisha na ile inayotolewa na "Google...
Habarini za kazi wakuu, nina siku mbili tu toka nime switch from windows 8 to 10 kwaajili ya software ya Solidwork lakini nilicho kutana nacho ni matumizi makubwa ya data bila mimi kujua kwani...
Salute..
Sijui ni mkosi au nachukua bidhaa mbovu ila Kampuni ya Sumsung inanitesa sana. Mwanzo nilikua natumia Samsung S4 ikawa inachemka sana hadi vidole vinapata shoti, chaji ikijaa ndani ya saa...