Bei ya line mpya. Itakuwa 1000 au 2000Gharama ni kiasi gan
na bora viendelee kuwa ghali, workload ipungue spidi iwe nzuri4g ya voda ni moto wa kuotelea mbali ina spidi ya ajabu yani hawa jamaa kam sio vifurushi kuwa ghali hawana mpinzani kwa tanzania kubali ukatae wakifuatiwa na halotel pia..
Juzi kati nilidownload movie ya hd kwa muda wa dk 5 tu, ila siku niliamua kutumia 4G ya tigo, ilibidi nilale huku nimeiacha pc inadownload.4g ya voda ni moto wa kuotelea mbali ina spidi ya ajabu yani hawa jamaa kam sio vifurushi kuwa ghali hawana mpinzani kwa tanzania kubali ukatae wakifuatiwa na halotel pia..
Usitaje Tigo napata kichefchefJuzi kati nilidownload movie ya hd kwa muda wa dk 5 tu, ila siku niliamua kutumia 4G ya tigo, ilibidi nilale huku nimeiacha pc inadownload.
Kwanza Tigo wameniuzi mno baada ya kuondoa kifurushi cha 2,500/= cha saizi yako...alafu internet yao ya 4G, kwa Voda naihesabia ni 2G.Usitaje Tigo napata kichefchef
[emoji3][emoji3][emoji3]na bora viendelee kuwa ghali, workload ipungue spidi iwe nzuri
Juzi kati nilidownload movie ya hd kwa muda wa dk 5 tu, ila siku niliamua kutumia 4G ya tigo, ilibidi nilale huku nimeiacha pc inadownload.
[emoji38]tigo mm nishaachan nao toka 2015 niliona ni magumashiUsitaje Tigo napata kichefchef
Kwanza Tigo wameniuzi mno baada ya kuondoa kifurushi cha 2,500/= cha saizi yako...alafu internet yao ya 4G, kwa Voda naihesabia ni 2G.
hapo ndo wananiachaga hoi kabisa alafu kwa,speed waliyonayo hiy mb 250 ukibonyeza tu unaletewa mesej umebakiwa na mb 50 ni kwel wako speed mno ila vifurush wajitathmini upyaVodacom kweny speed ya internet hawana mpinzani kwa hapa bongo tatizo lao ni gharama. Sana mb250 kwa 1000 ni ghari sana
Kabisadaah yani kutoka voda had tigo lazima uone tofaut kwanza ninaamini 4g ya tigo ni.ya uzushi haijakidhi viwango inapitwa mbali sana na 3g ya halotel
Unatumiaga kifurushi gani cha voda mkuuJuzi kati nilidownload movie ya hd kwa muda wa dk 5 tu, ila siku niliamua kutumia 4G ya tigo, ilibidi nilale huku nimeiacha pc inadownload.