COMPTON BLVD
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 682
- 613
Niko Tabora,nilikuwa nahitaji niipate nikiwa huku...Nenda machinga complex
Niko Tabora,nilikuwa nahitaji niipate nikiwa huku...
Sasa mzee mkoa mzima wa Tabora una Laptop hazizidi 20 sijui utapataje huko
😂 😂 😂 😂dahSasa mzee mkoa mzima wa Tabora una Laptop hazizidi 20 sijui utapataje huko
Machinga complex upande upi mzee au floor ya ngapi?Nenda machinga complex