Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,681
- 106,794
Salute..
Sijui ni mkosi au nachukua bidhaa mbovu ila Kampuni ya Sumsung inanitesa sana. Mwanzo nilikua natumia Samsung S4 ikawa inachemka sana hadi vidole vinapata shoti, chaji ikijaa ndani ya saa moja au 2 imeishaaa. Nikaitumia about 2yrs nikaipoteza.
Sasa nimepata nyingine bado mpya hasa lakini nikiweka chaji haiingizi moto haraka ndani ya nusu saa inaingiza 4% nishabidirisha chaji 3 ila wapii. Ni Samsung Grand Prime+ 2017 toleo.
Tatizo itakua nini?Nifanyeje?
Cc
Chief-Mkwawa na wadau wote