Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 878
- 945
Habari za usiku wana JF,
Wadau naombeni msaada juu ya tatizo hili, kwamba katika simu kila nikienda Google Playstore ili nii pakue Apps za Facebook, messenger ama Facebook Lite naambiwa kuwa there is a similar App. Wakati huo hakuna App ya Facebook hata moja.
Pia, nikiipakuwa moja ya App hizo pamoja na maneno hayo, ikimalizika kupakulika haikai,
Naombeni msaada nini nifanye ili nipakue hizo Apps