Nimekuta email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone (iPhone 6)" naomba msaada

Likwidi

Member
Mar 25, 2019
79
125
Habarini wadau

Nilipoteza IPhone yangu kila nikiitrack nakuta ipo offline ila leo kuna alert nimepata kwa email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone" msaada tafadhali kama naweza kuipata.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,159
2,000
Habarini wadau

Nilipoteza IPhone yangu kila nikiitrack nakuta ipo offline ila leo kuna alert nimepata kwa email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone" msaada tafadhali kama naweza kuipata.
Login na email yako kwenye service ya find my iphone then ujaribu kumtrack.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom