Napata tatizo kufanya usajili kila nikidownload Whatsapp

Hiyo simu yako huwa ipo 3G tu au kuna muda hubadilika na kuwa H+.
Kama jibu ni ndio.

Wakati unajisajili hakikisha network hapo inasoma H+.
Maana shida hapo ni network.

Kingine kumbuka ku clear cache za playstore.
 
Ernest lukindo,

Setting ziko sawa mkuu matatizo kama hayo kusolve mpaka uweke unofficial Whatsapp ndio itafanya kazi la sivyo atahangaika nayo bure bila kupata tiba. Haswa Tecno w3 ziko hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom