Msaada jinsi ya kuzuia matumizi ya internet kwenye windows 10

Srebrina

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
972
Reaction score
441
Habarini za kazi wakuu, nina siku mbili tu toka nime switch from windows 8 to 10 kwaajili ya software ya Solidwork lakini nilicho kutana nacho ni matumizi makubwa ya data bila mimi kujua kwani ndani ya siku mbili zimetumika GB 9 bila mimi kudownload wala kuplay chochote mtandaoni. Naombeni msaada juu ya hili Nifanyaje?
 
Updates za windows 10 hizo.

Nenda kwenye network settings na set that network as "metered network "
 
kwaiyo mkuu nikiset ivyo data plan yangu itakuwa haitumiki kabisa mpaka nitakapotaka au nitapunguza tu ila mb zitakuwa zinatumika alafu vipi kuhusu ivi vi tiles app
 
1 Zima automatic window update na unstall app ambazo sio muhim kwko mfano kama skype na zile nyingne
 
Habarini za kazi wakuu, nina siku mbili tu toka nime switch from windows 8 to 10 kwaajili ya software ya Solidwork lakini nilicho kutana nacho ni matumizi makubwa ya data bila mimi kujua kwani ndani ya siku mbili zimetumika GB 9 bila mimi kudownload wala kuplay chochote mtandaoni. Naombeni msaada juu ya hili Nifanyaje?
Umedownload version ya zamani ya windows 10 hivyo inaji update na kama version ya windows 10 ni home unaweza pause updates kwa siku chache tu.

Unaweza epuka hayo matumizi ya data kwa kuweka network yako kama metered connection hii itafanya windows isitumie internet. Kuweka kama metered connection utaenda setting kisha network kisha tafuta hio wifi ama internet unayotumia kisha click properties na uiweke metered connection.

Njia nyengine nzuri siku unapoweka windows weka version ya enterprise yenyewe ina uwezo wa kupause updates hata mwaka mzima, siku ukiwa na bundle nzuri unai update ukimaliza unapause.
 
Ngoja nifanye ivyo nione
Mi nashauri iache imalize updates zote, ni kawaida mwanzoni kutumia data nyingi ili ikae sawa. Baada ya hapo inatumia kidogo sana, ila jenga mazoea ya ku update mara kwa mara.
 
Habarini za kazi wakuu, nina siku mbili tu toka nime switch from windows 8 to 10 kwaajili ya software ya Solidwork lakini nilicho kutana nacho ni matumizi makubwa ya data bila mimi kujua kwani ndani ya siku mbili zimetumika GB 9 bila mimi kudownload wala kuplay chochote mtandaoni. Naombeni msaada juu ya hili Nifanyaje?
Sema window 10 ipo good mno, unatumia modem gani boss yenye kasi
 
Bonyeza Window icon + R
Screenshot (280)_LI.jpg

Type iyo Path kwenye run box alafu

Screenshot (274)_LI.jpg

select admn templet

Screenshot (275)_LI.jpg

chagua window componet

Screenshot (276)_LI.jpg

ikifunguka chagu window updates

Screenshot (277)_LI.jpg

select iyo ato updates

Screenshot (278)_LI.jpg

chagua disable appy & save

hapo utakua umemaliza shuhuli
 
Umedownload version ya zamani ya windows 10 hivyo inaji update na kama version ya windows 10 ni home unaweza pause updates kwa siku chache tu.

Unaweza epuka hayo matumizi ya data kwa kuweka network yako kama metered connection hii itafanya windows isitumie internet. Kuweka kama metered connection utaenda setting kisha network kisha tafuta hio wifi ama internet unayotumia kisha click properties na uiweke metered connection.

Njia nyengine nzuri siku unapoweka windows weka version ya enterprise yenyewe ina uwezo wa kupause updates hata mwaka mzima, siku ukiwa na bundle nzuri unai update ukimaliza unapause.
Hiki kipengele ndio kinanisumbua maana iyo metered connection siipati
 
Updates kwenye windows 10 ni part ya windows. There is no way unaweza ukazizima kwa settings lazima zitajiwasha tu. Na watu wengi wanaotumia windows 10 wana hiki kilio cha kuliwa bando lao. Na wanaliwa haswaaa mpaka wanajuta.

Mimi nmewahi kutumia app flan na ilinisaidia sana kuzima updates kwenye windows 10. Kwa bahati mbaya jina silikumbuki sababu kwa sasa situmii windows 10. Labda ngoja niitafute kama nilikilipata jina ntakutumia.
Habarini za kazi wakuu, nina siku mbili tu toka nime switch from windows 8 to 10 kwaajili ya software ya Solidwork lakini nilicho kutana nacho ni matumizi makubwa ya data bila mimi kujua kwani ndani ya siku mbili zimetumika GB 9 bila mimi kudownload wala kuplay chochote mtandaoni. Naombeni msaada juu ya hili Nifanyaje?
 
Windows 10 ina updates ambazo wao wameamua ni essential. Huwezi kuzizima kwa configuration yoyote. Dawa ni kuzuia tu internet access. Unaweza kufanya kwa kutumia Firewall or anything at network level. Block traffic zote za kwenda kwenye Windows update!
 
mm window 10 imensumbua sana yani nime turn off auto update lakn wapi, nikaset metered network lakn wapi aaakhh nkapiga chn saiz nmerudi window 8
 
Back
Top Bottom