Folder na file zinajitengeneza shortcut ata ni delete azikubali au zinarudi

kagombe

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
3,508
1,642
computer yangu imepatwa na tatizo baada ya kuchekwa flash baadhi ya folder na file zinajitengeneza shortcut ata ni delete azikubali au zinarudi.naitaji msaada wenu jinsi ya kutatua tatizo hili isiwe suala la format naitaji solution tu.asante sana
 
Kuna kiji file kinaitwa shortcut remover kigoogle baadae unaki install kwenye pc mafile yote yanarudi vizuri hilo swala lilinikuta 2013
 
computer yangu imepatwa na tatizo baada ya kuchekwa flash baadhi ya folder na file zinajitengeneza shortcut ata ni delete azikubali au zinarudi.naitaji msaada wenu jinsi ya kutatua tatizo hili isiwe suala la format naitaji solution tu.asante sana
Install Antivirus kama vile Kaspersky then hakikisha ipo updated na iwe licensed, baada ya hapo fanyia Full Scan, isubirie hadi imalize...au kama unatumia Windows 8-10, unaweza ukatumia Windows defender, ila hakikisha ipo updated alafu ifanyie Full Scan, iache hadi imalize.
 
nat

Natumia w10 najaribu naleta mrejesho wakuu
 
Virus wa shortcut wasikutishe, tumia hata smadav hapo mafile yako yote yanarudi.
 
Uzuri wa Windows 8-10 ni kwamba, mafile yaliyo affected na shortcut virus huwa yanakuwa hidden, ili kuyarudisha ni heri kabla hujafuta chochote, ukaenda click VIEW>HIDDEN FILES(tick)...hapo zitaonekana ila tofauti ni kwamba zile shortcut zitaonekana kwa kung'aa na zile hidden files zitaonekana sio kwa kung'aa.
 
Back
Top Bottom