Nilinunua laptop mpya aina ya HP Pavilion mwezi uliopita ambayo ilikuwa imewekwa Windows 10.
Shida imekuja nilisahau password nikafanya "system restore" na kutengeneza bootable mpya ya Window...
Hello wanatech
Physics wengine ilikuwa ngumu.😀
Ningependa kujua kifaa cha watt 300 kinaweza tumia unit ngapi kwa mwezi,kama kinawashwa kwa wastani wa masaa 8 kwa siku.
Nyongeza na je, nikiwa na...
Wakuu niaje,
Nilikuwaga na masuali ambayo sijawahi yapatia ufumbuzi hasa kuhusu mpinzani au ni software gani ambayo inaweza kuwa mpinzani wa IDM katika wepesi wa kudownload files, movies, n.k...
Wataalam,
Habari zenu, nimenunua king'amuzi cha ting nimekiwasha na kusach auto ila napata channel za continental, zinaonesha chanel mbili tatu tu, je ni frequency zipi labda niweke manually nipo...
Ndugu zangu nahitaji msaada kwa mtu yeyote mwenye uelewa vizuri kuhusu cyber security kama yupo humu ili aweze kunisaidia baadhi ya vitu kuhusu cyber security pia kama atakuwa anapatikana mkoa wa...
Salaam wadau,
Nahtaji kujua ukitaka kuanzisha radio gharama zake zikoje kiujumla? Mfano, nataka nfungue community radio bajet inaweza anzia shingapi? na vitu vya muhimu kuwa navyo nivipi...
Ni Samsung galaxy A10s na A10
Ni jamii ya tecno
A10s
PLATFORM
OS
Android 9.0 (Pie)
Chipset
Mediatek MT6762 Helio P22 (12 nm)
CPU
Octa-core 2.0 GHz Cortex-A53
GPU
PowerVR GE8320
A10e...
Ningependa kuwauliza wanaohusika kwamba je, kuna app ya jamii Forums kwa ajili ya simu zinazotumia windows 8 OS? Kama bado, kuna mpango wa kutengeneza? Nawatakia siku njema!
Wadau tablet ya techo H8 mwanzon nilivo Nunua ilikuwa inakua full kwa muda hata wa masaa 2 na nusu ila siku hizi iwe full unachukua zaidi hata ya masaa 13 . apps nimeweka nyinginyingi games pia...
Hivi karibuni, makampuni makubwa, Facebook, Google na mengine kama sikosei yalishtakiwa kwa ku monopolize masoko.Yaani, kuwa na Apps nyingi zaidi ili kuweza kuliteka soko wao tu peke yao kwenye...
Habari wakuu!
Nahitaji kupata FTA channels. Interest yangu ni news, documentaries, music na local channels. Ipi ni receiver bora kwa matumizi haya kwa sasa? Wapi naweza kupata?
Habari wanajamii,
Ninaomba kufahamu hii Android security patch inasaidia nini kwenye simu sababu kwenye simu yangu huwa inakuja system update ya hiyo kitu.
Shukrani.
Habari za kazi wakuu nategemea mko wazima wa afya na heri ya skukuu, baada ya muda mrefu kutumia PC zenye slot ya SIM CARD bila kuwa na WWAN adapter juzi nilifanikiwa kupata new pc yenye iyo port...
Wadau vp,?
Nashindwa kudownload videos kutoka youtube kwa kutumia tubemate, vidmate naambiwa app hzo hazijawa verfied na youtube
Nifanyeje au nitumia app gani kuzipata video za youtube? Maana...
PayPal is the most loved way to buy items worldwide using online shops like EBay, Amazon and others. In fact its the number one used service which helps to shop online quickly and securely.
Why...
Heshima kwenu wakuu.
Mada inajieleza. Kumekuwa na mgongano wa kimawazo kuhusu Nani mkali wa kufunga mziki kwenye gari jijini Dar?
Wanasema Dicksound ndo baba lao. Wengine wanasema kuna wakali...
Wajuzi wa mambo ebu nijuzeni, Jana na hata leo nikiplay kitu kwa VLC player kwenye computer yangu nao kile kilogo cha vcl kimevalishwa kofia ya father Christmas, sasa hii inawezekanaje wakati...
Nina receiver mediacom imeandikwa DiSEqC 1.2 MPEG2 DVB digital satellite receiver na ungo mdogo wa startimes. Ninaweza kupata channel zozote hapo hasa za nyumbani Tanzania?