Naomba ushauri kuhusu king'amuzi cha ting

Eduin

Senior Member
May 15, 2014
189
136
Wataalam,
Habari zenu, nimenunua king'amuzi cha ting nimekiwasha na kusach auto ila napata channel za continental, zinaonesha chanel mbili tatu tu, je ni frequency zipi labda niweke manually nipo kisarawe pwani.
 
Uelekeo wa dishi lako ni upi? Maana Continentak na Ting siku hizi wako separate tofauti na miaka michache iliyopita ambapo walikuwa katika satellite moja, ya kwanza Amos 5 iliyopoteza mawasiliano na baadaye wakaenda wakaenda kila kampuni kivyake kisha tena wakashea Abs 2 ya 75.0°E kisha miezi ya karibuni Continental wakahamia Azer space 2 ya 45.0°E na kuwaacha Ting wakiwa bado kwenye Abs 2 ila pia siku za karibuni Ting nao nikasikia tetesi kwamba wamehamia tena chini zaidi ya kule walikokuwa sijui kama ni kweli maana sijapata updates zao kwa sasa. Kwa hiyo endelea kufuatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ting bado wapo abs2 mkuu hawajahama

Back
Top Bottom