Je,naweza kui-root simu yangu Sony ambayo ni 3G iwe 4G??
Au iwe na mifumo ya simu nyingine ambazo ni 3G??
Kwa hapa dar es salaam,niende wapi ili nifanikishiwe ili jambo?..niandae shilingi...
Heri ya mwaka mpya wakuu..
Kuna fundi kamfungia bi mkubwa solar, tangu tarehe 30 December
Sasa taa zinawaka ila inverter inawasha taa nyekundu na kupiga alarm. Fundi aliwaahidi kuwa jua likiwaka...
Wakuu heri ya mwaka mpya,
Mwenzenu nimeanza na majanga kidogo. Baada ya kuomba ushauri wa ku activate Window kwa kutumia KMS
Ilishindikana na nikaachana na hiyo issue, so sikuitumia kwa muda kama...
Wakuu habarini, TV yangu aina ya TCL Smart TV imepigwa shoti haiwaki fundi kasema card ya Tv imeungua.
Sijui naweza pata card ya TV kwa bei gani na maeneo gani kwa Dar es Salaam?
Naomba kwa anayefahamu performance ya "Realme x2 Pro" ikoje, ambaye ameshaitia mikononi au ambaye ana experience na simu za "Realme" aseme neno.
Na price range kwa bongo ikoje. Nimeona ina specs...
Wana jukwaa naomba msaada kwa fundi anaeweza nirekebishia camera ya simu aina ya Google pixel maana kupata spares imekua ngumu kidogo kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu?
Hapa kwangu nilipohamia pana tatizo la nyumba nyingi zina low voltage.
Ni kifaa gani kinaweza kufaa kubalance umeme angalau niwe natumia Tv, Radio na matumizi madogo ya hapa...
Habari,
Kama title inavyojieleza,
Je? Nichangamoto zipi unakutana nazo katika harakati zako za ufundi.
Mimi nakumbuka nilikuwa nafanya kazi shirika moja kabla ya kuacha nilikuwa nalipwa 2k kwa mwezi.
Wakuu habari
Chuo gani naweza kujifunza mambo ya cyber security kwa hapa Dar es Salaam, atleast iwe kozi ya miez 6 au mwaka, sio degree program..
Nina degree ila sio ya IT au CS..
Karibuni...
Heri ya Christmas,
Msaada wataalamu wa apps. Na download program kwenye simu yangu. Bado imeandika DOWNLOAD PENDING kwa wiki sasa.
Sijui shida ni nini?
Yaani kujua namna ya kuchukua video kwenye status Facebook.
Nimedownload ile app ya Video Downloader; ya WhatsApp nimefanikiwa lakini ya Facebook naona kwa upande wa status nashindwa.
Hii ya...
Habari wataalam,
Naomba kujuzwa kuhusu flat screen bora na nzuri kulingana na hivi vitu huwa vinanichanganya LCD na LED pia nimesikia kwa watu kuna smart 4 na 5 na pia brand gani ni nzuri kuliko...
Heshima kwenu.
Mimi natumia kitochi cha Tigo. Naomba usaidizi wa kuwezesha Facebook bure kwa miezi 6 kwa anayefahamu. Niliagiza simu kwa hiyo sikuweza kupata nafasi ya kuwekewa ofa zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.