Usihukumu utahukumiwa, huenda umeisahau sehemu mtu akaokota, mbona watu wanaokota vingi tu ila wenyewe hawajitokezi. Kwa kuwapa watu chata ya wizi huenda usiipate kabisa.Wakuu
Mac laptop yangu imeibwa but nina details zote kama serial number na IMEI je how naweza kuitrace kwa yeyote mwenye maujuzi
Spare parts bado atafaidi tu.io ku itrace ni ndoto bro kama icloud ipo activated fnya kuifunga tuu mkose wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihukumu utahukumiwa, huenda umeisahau sehemu mtu akaokota, mbona watu wanaokota vingi tu ila wenyewe hawajitokezi. Kwa kuwapa watu chata ya wizi huenda usiipate kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa naonesha kwamba hii ndio market ya hizi bidhaa zinazoibiwa.Kabla ya kuifunga ripoti polisi cyber crime wanaweza fanya maarifaWe nae sijui vipi,
Hahaha mkuu ulishawahi okota laptop?Usihukumu utahukumiwa, huenda umeisahau sehemu mtu akaokota, mbona watu wanaokota vingi tu ila wenyewe hawajitokezi. Kwa kuwapa watu chata ya wizi huenda usiipate kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafungue kesi police siku hizi wana tracking systems wataipata shaka hondoaWakuu
Mac laptop yangu imeibwa but nina details zote kama serial number na IMEI je how naweza kuitrace kwa yeyote mwenye maujuzi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Deal kwa mwizi
Nicheki PM mkuu kama details zipoWakuu
Mac laptop yangu imeibwa but nina details zote kama serial number na IMEI je how naweza kuitrace kwa yeyote mwenye maujuzi