medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,449
- 1,536
Nilinunua laptop mpya aina ya HP Pavilion mwezi uliopita ambayo ilikuwa imewekwa Windows 10.
Shida imekuja nilisahau password nikafanya "system restore" na kutengeneza bootable mpya ya Window nyingine.
Shida ninayopata partition haionekani ninapopiga Windows. Pia, nimejaribu kutafuta solution kwenye mitandao nakushauriwa niweke legacy support "enabled" kwenye bios setting, lakini bila mafanikio.
Na nikiweka legacy support enabled inakuwa siwezi kufungua kwenye OS iliyokuwepo ambayo nimesahau password.