Msaada: Jinsi ya kurestore Galaxy Prime+

Msaada: Jinsi ya kurestore Galaxy Prime+

E-mail inayotumika kwenye hiyo simu ni yako.?
 
Hiyo kama ilikuwa inatumika Oman maana yake e-mail iliyopo humo siyo yako, cha kufanya ni kutoa file reset protection (FRP) ila hiyo ya kureset utakuwa unajidanganya .
Habari zenu wakuu nahitaji kuirestore Galaxy Grand Prime+ ila sijaona pa kuanzia wala kumalizia msaada wenu tafadhalini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom