Wakuu kwa yeyote mwenye ufahamu nina laptop yangu 'mpya dell inachanganya keys zake (baadhi) mfano nikipress "y'myenyewe inaandika "z" nikipress "z" inaandika "y" halafu kwenye zile symbol sasa hapo ndo balaa maana ukiweka @ inaku ja ' au ialama nyinginw kabisa je kuna mtu anaelewa solution ya hii kitu?