mkhande95
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 308
- 178
Natumai mu wazima wakuu na wikiendi.
Wakuu, ndugu yangu ana simu aina ya Tecno Spark K7. Shida yangu ni kwamba kwa muda mrefu hii some imekuwa utumiaji wake unakuwa too slow yaani unabonyeza app fulani mpaka kufungua inatumia muda mrefu na mara nyingine mpaka nireboot ndio kidogo sio sana inapungua lakini uslow uko palepale.
Tulijaribu kureset simu lakini bado tatizo liko.
Je, nini inaweza kuwa tatizo na nifanye nini, simu haina tatizo lingine bado nzima.
Natanguliza shukrani kwa msaada wenu.