Web developers naomba msaada wenu katika hili

Msukule Msafi

Member
Oct 10, 2018
55
45
Habari wakuu, nina website ya ecommerce nimekwama mahali ninahitaji niwe naweka price ranges kutokana na quantity atakayo order mteja mfano wa hizi products.

Platform ya web yangu nilotumia ni Wordpress

Nawasilisha.

IMG-20200102-WA0004.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nichek 0623391590

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nafikir hii ni moja ya sababu inayofanya watu wengi hawaibuki na kukua katika fani zao.Unapomwambia akupigia simu maana yake unajua na unataka biashara.Unachotakiwa kufanya ili kujenga credibility yako mtandaoni ni kutoa brief maelezo ya jinsi uo mfumo unavofanya kazi na nini kinapaswa kufanywa in brief kisha baada ya maelezo yako unamwambia akupatie link ya site na contact zako iwapo anahitaji msaada.Kwa kufanya hivyo unakuwa umeonyesha kuwa wewe ni developer mzuri na sio mchoyo wa maarifa na hivyo utaweza kujenga personal brand.

Kumwambia mtu nipigie nikupe solution ni dalili kwamba wewe ni mchoyo wa maarifa na inawezekana hata uwezo wako ni mdogo kwa hio unaganga njaa
 
Habari wakuu, nina website ya ecommerce nimekwama mahali ninahitaji niwe naweka price ranges kutokana na quantity atakayo order mteja mfano wa hizi products.

Platform ya web yangu nilotumia ni Wordpress

Nawasilisha.

View attachment 1312693

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari mkuu,kwa kutegemea platform uliyotumia kutengeneza site yako kuna namna tofauti.Solution nyingine zinaweza itaji markebisho kidogo kwenye code,nyingine zinaweza kuhitaji kuweka plugin,na nyingine zinaweza kuhitaji kubadili kabisa platform yako unayotumia.

Vile vile inategemea lugha na uzoefu wako katika desgn.Hivyo basi ni vyema ukaweka hata sample code ya shorping cart yako ila ifanyiwe ukaguzi.Pia waweza weka link ya site yako iwapo ipo online

Karibu
 
Mkuu naomba tuonane pm tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuambia weka link ya Wavuti yako hapa hautaki Sasa unalaumu unataka msaada au biashara?!.
Weka link tuone wengine kwa kuangalia picha inasumbua angalia usije anzisha Uzi unasema.

"East Africa Hakuna web developers"
 
Back
Top Bottom