Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Msaada wa ni hatua zipi naweza fanya zaidi ili nimpata mwizi wangu. Tarehe 7/12/2019 niliibiwa simu pamoja na fedha, nikapeleka polisi taarifa, nikaandikiwa loss report, nikaenda kwa mtandao wa...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Habarini ndugu, Kama kichwa cha habari appo juu kinavyojieleza, nlikuwa naomba msaada najua humu Kuna wabobezi wa mambo mbalimbali. Nmejiunga freelancer.com ili nitafute kazi Sasa nilipata kazi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Simu yangu aina ya Tecno pop1 imezima kuna fundi kaicheki kasema inatakiwa iflashiwe je kuflash ni sh ngapi? Je, inaweza kusolve tatizo?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu habari aisee nimepata ka PS 4 ka kunifariji kidogo na hizi stress sasa changamoto ni bei ya kununua CD za games kwa kweli ni gharama kwangu. Naomba msaada wa website nayoweza kudownload...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa wale die hard tech fans lazima mtakua na ndoto za kumiliki computer ya aina flan na specs flani,either unapambana kutimiza ndoto yako kama mimi au umetulia unatamani unasubir miujiza itokee...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, Hivi mtu ukiwa na viakiba vyako vya kuunga unga benki. Kwanza natamani kujua Benki kuna usalama kiasi gani dhidi ya wezi wa kisasa wanaotumia teknolojia? Pia nijihadhari na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Moja ya vitu vinavyonipotezea muda kwenye simu ni pamoja na kuchapa sms. Natumia muda mwingi kufanya editing kuweka maneno ya kiswahili baada ya simu kuweka maneno yake. Mimi naandika...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naomba kuelekezwa kuset screen picha, video na maandishi yaonekane standard. Kwa sasa vinaonekana kama vimebend hivi kushoto na kulia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeinstall Polaris Office kwenye PC yangu, lakini shida imekuja kwenye kufungua Document inanihitaji niweke license key. So kwa anayefahamu hiyo license key wapi naweza kupata naomba anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wajuzi eti kuna kifaa ambacho kinaweza kudivert umeme kila mpangaji akawa anatumia umeme wake na ukakata kivyake tofauti na kuweka luku?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina iPhone iko locked yeyote anayeweza ku unlock tafadhali anipe na gharama zake ni iPhone 6S Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Habari, Nimejitahidi sana kucheza hili game kuanzia amateur mpaka sasa niko Dv2 pamoja na kuwa na kikosi kidhaifu chenye wachezaji wawili tu wenye 72,70 na Mmoja yule Wa Offer Alaba ana 81...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Dunia yetu tunayo ishi imetengenezwa kwa variables ambazo zipo katika mfumo wa analogia,variable hizo kama vile joto,mvuke,hewa,sauti nakadhalika. Hivyo upimaji wa vitu hivi katika mfumo wa...
2 Reactions
7 Replies
7K Views
Na Namna Gani Inaweza kutoka? Picha Hii Wadau
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naombeni kujua ni wapi naweza kupata M.2 SSD hapa Dar na bei zake zimekaaje. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
simu yangu pendwa niliiangusha, ikapata crake mwishoni sina mpango wa kubadilisha wala kuiacha. ni Samsung note 8, Kuna scree protector za aina nyingi sasa sijui niweke ya aina gani kusolve ilo...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Wadau habari, naomba wenye kuzifahamu websites nzuri za kuangalia mechi za mpira anisaidie
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari, Msaada wa link ya kudownload drivers za Samsung model 300 E4C ambazo haziuzwi. Baada ya ku upgrade kutoka Windows 7 kwenda Windows 10 pro 64bits nimepata tatizo za drivers, bluetooth...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaam, Nimepata changamoto kuna laptop imekuwa ikitumika, lakini changamoto nimeikuta ni kuwa nikijaribu kuprint document iliyo kwenye PDF &Excel inashindwa kusoma printer zilizopo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Saalam wakuu nimetengeneza app ya android kwaajili ya simulizi za watoto app hii inauwezo wa kutumika offline pia inamuwezesha mtoto kusikiliza au kusoma ikiwa anaweza kwasasa nimeanza na hadithi...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom