Nijuze jinsi ya kuondoa lugha ya English kwenye keyboard ya sms

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,714
Moja ya vitu vinavyonipotezea muda kwenye simu ni pamoja na kuchapa sms. Natumia muda mwingi kufanya editing kuweka maneno ya kiswahili baada ya simu kuweka maneno yake.

Mimi naandika yake...yenyewe inaandika take. Sipendi hii kitu
 
Nenda katika settings. Tafuta input settings, utaona keyboard na setting zake.

Ukiingia settings za keyboard, turn off dictionary, auto suggestions na maujinga yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nenda setting kwenye spelling checker, pia weka off dictionary, auto correct, na maujinga yote weka off.
Hapo utaandika unalolitaka wewe ukikosea umekosea ww.
 
Rahisi
Screenshot_20200221-094335.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom