Msaada Laptop yangu haisomi Printer nikifungua PDF na Excel file kutoa nakala ngumu

Mkwala

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
1,085
2,000
Wasalaam,

Nimepata changamoto kuna laptop imekuwa ikitumika, lakini changamoto nimeikuta ni kuwa nikijaribu kuprint document iliyo kwenye PDF &Excel inashindwa kusoma printer zilizopo.

Nimejaribu kuprint kwa Word document yenyewe haina tatizo. Je, kuna shida ipi inayopelekea PDF na Excel file zigome.

Nimejaribu kuwaeleza watu wa IT waliopo jirani naona hawana majibu zaidi ya kusema subiri tutafanyia kazi. Mimi nimejaribu mbinu kadhaa naona tatizo limeendelea.

Naomba msaada wenu wataalam magwiji.
 
New Nytemare

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
3,192
2,000
Tatizo ni windows kuna files zime corrupt...piga windows ingine...trust me
Wasalaam,

Nimepata changamoto kuna laptop imekuwa ikitumika, lakini changamoto nimeikuta ni kuwa nikijaribu kuprint document iliyo kwenye PDF &Excel inashindwa kusoma printer zilizopo.

Nimejaribu kuprint kwa Word document yenyewe haina tatizo. Je, kuna shida ipi inayopelekea PDF na Excel file zigome.

Nimejaribu kuwaeleza watu wa IT waliopo jirani naona hawana majibu zaidi ya kusema subiri tutafanyia kazi. Mimi nimejaribu mbinu kadhaa naona tatizo limeendelea.

Naomba msaada wenu wataalam magwiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
boyson onlye

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
899
1,000
Ishu za matatizo ya computer kama hayo itabidi mpaka itafutwe tatizo katoka computer husika siyo Tu unamuuliza IT akujibu moja Kwa moja, tatizo inaweza ikawa window maana pc nyingi kipindi hiki zinasumbua ishu za window, au tatizo inaweza ikawa drive za printer japo hii haiko asilimia kubwa maana nyingine inaprint, cha kufanyaje update drive kama bado update window au Fanya recover ikishindikana piga window mpya

Wasalaam,

Nimepata changamoto kuna laptop imekuwa ikitumika, lakini changamoto nimeikuta ni kuwa nikijaribu kuprint document iliyo kwenye PDF &Excel inashindwa kusoma printer zilizopo.

Nimejaribu kuprint kwa Word document yenyewe haina tatizo. Je, kuna shida ipi inayopelekea PDF na Excel file zigome.

Nimejaribu kuwaeleza watu wa IT waliopo jirani naona hawana majibu zaidi ya kusema subiri tutafanyia kazi. Mimi nimejaribu mbinu kadhaa naona tatizo limeendelea.

Naomba msaada wenu wataalam magwiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
3,514
2,000
Mi printer ya aina gani?

1. Most of computers kama umeupdate drivers zote basi ukiconnect printer huwa inajiinstall drivers automatically. Unless kama ni printer ya kizamani.

2. Kama hauna cd ya drivers basi ukiingia kwenye website ya hao waliomanufacture hiyo printer upande wa support lazima utapata driver ya hiyo printer.

Wasalaam,

Nimepata changamoto kuna laptop imekuwa ikitumika, lakini changamoto nimeikuta ni kuwa nikijaribu kuprint document iliyo kwenye PDF &Excel inashindwa kusoma printer zilizopo.

Nimejaribu kuprint kwa Word document yenyewe haina tatizo. Je, kuna shida ipi inayopelekea PDF na Excel file zigome.

Nimejaribu kuwaeleza watu wa IT waliopo jirani naona hawana majibu zaidi ya kusema subiri tutafanyia kazi. Mimi nimejaribu mbinu kadhaa naona tatizo limeendelea.

Naomba msaada wenu wataalam magwiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom