Ivar
Member
- Jan 6, 2018
- 11
- 7
Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naomba kuelekezwa kuset screen picha, video na maandishi yaonekane standard.
Kwa sasa vinaonekana kama vimebend hivi kushoto na kulia ila mwanzo ilikuwa sawa.
Tatizo limejitokeza baada ya kubadilisha Window.
Mfano nikiangalia picha inaonekana pana/nene kuliko uhalisia
Nikiset desktop background inaonekana pana/nene kuzaja screen kulia n kushoto kama imebend vile.
NB: Nimejaribu screen resolution na display kote nimefeli.
Naamini nmeeleweka japo kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app