Naomba msaasa katika hili gemu la Dream League Soccer 20 kuna sehemu nimekwama

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,649
3,162
Wakuu Habari,

Nimejitahidi sana kucheza hili game kuanzia amateur mpaka sasa niko Dv2 pamoja na kuwa na kikosi kidhaifu chenye wachezaji wawili tu wenye 72,70 na Mmoja yule Wa Offer Alaba ana 81.

Ila sasa naona maji yanakua marefu hasa hii Dv2.

Hivi hakuna namna kabisa ya kuhack hili gameMaana kutumia pesa kununulia coins sina afu nalipenda kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom