Neyahoo
Member
- Sep 7, 2019
- 81
- 92
Habarini ndugu,
Kama kichwa cha habari appo juu kinavyojieleza, nlikuwa naomba msaada najua humu Kuna wabobezi wa mambo mbalimbali. Nmejiunga freelancer.com ili nitafute kazi Sasa nilipata kazi ya kuandika article lakini maelekezo ya kuifanya hiyo kazi yalitumwa kwa njia ya file document.
Sasa nlipoangalia kwenye app hamna sehem ya kupata file naombeni mwenye ujuzi na hii app Basi anielekeze file likitumwa unalipokeaje?
Sent using Jamii Forums mobile app