Habarini,
Rejea title inavyosema. Nina simu yangu ya Android (Tecno Spark III) yenye tatizo kama nilivyoeleza kwenye title.
Ina kama siku ya nne tangu ilivyoanza kuleta shida ambapo ilianza kwa...
Wakubwa natumain Kuna best IT's humu Kama sio programmers,
Ninaomba mnisaidie nina maswali kadhaa kuhusu programming mimi binafsi napenda sana hi kitu ila sielewi naanzia wapi.
Nimejarb...
Kwema huku wadau wa masuala ya teknolojia? Poleni kwa majukumu na jitihada za kujikinga dhidi ya covid 19. Nina tatizo dogo naamini mtanisaidia maana humu kuna wataalamu wengi tu wa IT.
Kuna...
Habari wakuu,
Natumia window 10 katika PC tatizo limekuja nimedelete folder imeenda kwenye recycle bin ambayo haionekani ktk desktop icon na ukienda upande wa setting ili uweke idisplay kwenye...
Wajuvi,
Nawakaribisha tupeane tricks pamoja na matumizi mbalimbali ya command prompt.
Binafsi sina ufahamu wa hii kitu, nategemea kupata chochote humu jamvini.
Karibuni.
Wakuu habari za jioni ....nimeletewa computer hapa kwa specifications hizi kama ni wewe ungenunua kwa bei gani?
Cc Chief mkwawa
Sent using Damu ya Yesu
Nataka kulipa online kwa paypal nimejaribu kulink mpesa mastercard lakini imeshindikana je kuna njia nyingine ya kuweka hela paypal kwa kutumia mobile (kwa tigopesa au mtandao mwingine)
YONA F MARO
NAIROBI , Kenya August 2010
AINA ZA UHALIFU MTANDAO
The ICT Pub
Utumiaji wa Komputa zilizounganishwa kwenye mtandao unaendelea kukua kila siku sehemu nyingi duniani kasi hii ya...
JAmani wanajamvi nilikua na utata, kama kuna mtu anaweza utundu wa kuweka muziki kwenye video ya kujirecord anielekeze, au hata kama kuna app basi tuambizane.
Natumai mko vyema wanatech na mnaendelea kuchukua hatua stahiki kujikinga na COVID-19.
Iko hivi, kuna file mara nyingi nalikuta kwenye storage ya simu yangu chini kabisa, huwa linakuwa na mb...
Wakuu naomba tusaidieni kwa hili. Ni ipi software nzuri ya kutengeneza video na ku-design kama wanavyo design Kwenye TV like.. EATV, STAR TV etc.. Wakuu nisaidieni please!..
Wakuu naomba...
Wakuu habari ya leo?
Simu yangu inanigomea kupakua app toka play store. Kama kuna mtu mwenye kujua mbadala wa play store and utatuzi kuweza kuifanya play store kuendelea kufanya kazi naomba...
Test Duka App kwa play store. Nametumia React native technology wanayoitumia Facebook na apps zake kama Instagram na nyingine kibao. Kwa yeyote anayehitaji app Android pamoja na iOS tuwasiliane...
Ndugu mafundi wa Electronics naomba kujua ni matatizo gani hasa yanayozikabili hizi mashine za kampuni ya Gordak zinazotumika kwa ajili ya kazi mbalimbali katika kufanikisha baadhi ya kazi za...
Wadau najua teknolojia inakuwa kwa kasi sana na kuna vingi vipya vya kujifunza kila uchao.
Mie ni muhenga ila napenda sana mziki mkubwa. Kuna hii teknolojia ya Bluetooth speaker je nzuri ni zipi...
Habari,
Kumekua na tatizo ktk nyumba yangu ni kwamba kukiwa na radi husababisha circuit breaker kujikata ila hali ya radi ikitoweka umeme unatumika kama kawaida pasipo circuit br kujikata, ni...
Habari JF,
Natumai wote hamjambo na mko njema kabisa! Na kama ni hivyo ashukuriwe bwana..
Sina Mengi sana zaidi niko na jambo moja nataka kuwafahamisha ndugu woote walioziweka hizo simu (...
Habari wana jamii forum natumaini wengi wenu ni wazima, naomba mnisaidie nataka kununua simu ya sumsung ya laki 5 au 6, ambayo inakaa na charge siku nzima ninatumia sumsung galax j7 prime...