Msaada wa kuonesha icon ya recycle bin zote mbili ktk window 10

Msaada wa kuonesha icon ya recycle bin zote mbili ktk window 10

spleeingiant

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
138
Reaction score
45
Habari wakuu,

Natumia window 10 katika PC tatizo limekuja nimedelete folder imeenda kwenye recycle bin ambayo haionekani ktk desktop icon na ukienda upande wa setting ili uweke idisplay kwenye icon za mbele inatokea recycle bin moja ambayo iko empty ile nyingine haionekani msaada tafadhali

Capture.PNG
 
Kuna files ukizifuta zikiwa na gb nyingi uwa haziendi kwenye recycle bin zinafutika moja kwa moja huenda ndicho kilitokea
 
Njia ya kurudisha ipo, ila inabidi u download Stella recovery software,au tafta recovery programmes online
Binafsi. Mim ninayo moja inayorudisha mafile.niliwahi kuitumia kurecover folders and file from my external Hdd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom