Naomba msaada: umeme unajikata kila radi ikipia

bway hermit

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
1,311
2,301
Habari,

Kumekua na tatizo ktk nyumba yangu ni kwamba kukiwa na radi husababisha circuit breaker kujikata ila hali ya radi ikitoweka umeme unatumika kama kawaida pasipo circuit br kujikata, ni hali endelevu iliojitokeza katika nyumba nayoishi, JE HUENDA SHIDA NI NINI NA LIPI SULUHISHO LAKE??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo sio tatzo mkuu.
Huo ndo uzima wa nyumba yako.
Ispojikata nyumba itateketea na watu pia..
Mungu aepushilie mbali.

Mm ikijikata huwa nasema Yes kumbe Mtambo bado uko vzr.
Radi zikipungua ama mvua ikiisha..nawasha switch circuit naendelea na maisha.
 
Radi ni umeme,so kwenye nyumba yako ikitokea hitilafu ya umeme circuit breaker ufanya kazi yake yaaan huzuia mzunguko wa umeme


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimekupata ndugu shukran
Hilo sio tatzo mkuu.
Huo ndo uzima wa nyumba yako.
Ispojikata nyumba itateketea na watu pia..
Mungu aepushilie mbali.

Mm ikijikata huwa nasema Yes kumbe Mtambo bado uko vzr.
Radi zikipungua ama mvua ikiisha..nawasha switch circuit naendelea na maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom