Msaada kwenye tuta

Patema

JF-Expert Member
May 5, 2019
344
1,000
Wakuu habari za jioni ....nimeletewa computer hapa kwa specifications hizi kama ni wewe ungenunua kwa bei gani?

Cc Chief mkwawa
1582537736508.png

Sent using Damu ya Yesu
 
Patema

JF-Expert Member
May 5, 2019
344
1,000
highlight
-radeon 555 pro (level za 750ti)
-4k display
-i5 probably 7400
-8gb ddr4
-thunderbolt

mkuu kwa mimi around 2m naona inafaa, ikipungua kidogo ama kuzidi kidogo sio mbaya.
Shukrani sana mkuu

Sent using Damu ya Yesu
 
RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
16,782
2,000
highlight
-radeon 555 pro (level za 750ti)
-4k display
-i5 probably 7400
-8gb ddr4
-thunderbolt

mkuu kwa mimi around 2m naona inafaa, ikipungua kidogo ama kuzidi kidogo sio mbaya.
Hivi chief laptop zote zenye thunderbolt type c zinaconect external gpu?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,538
2,000
Hivi chief laptop zote zenye thunderbolt type c zinaconect external gpu?
Ndio mkuu, point ni kwamba thunderbolt angalau inakupa Bandwidth Gb 40 kwa sekunde. Haina speed kama Pcie ya kwenye desktop ila angalau inakaribiana. Tofauti na ports nyengine ambazo zipo slow na zinafanya gpu ya nje iwe slow.
 
RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
16,782
2,000
Ndio mkuu, point ni kwamba thunderbolt angalau inakupa Bandwidth Gb 40 kwa sekunde. Haina speed kama Pcie ya kwenye desktop ila angalau inakaribiana. Tofauti na ports nyengine ambazo zipo slow na zinafanya gpu ya nje iwe slow.
Hizo cable zake za kuconect zinakuwaje?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,538
2,000
Hizo cable zake za kuconect zinakuwaje?
Hazina tofauti na cable za chaja ya simu kimuonekano ila ufanyakazi ni tofauti. Ukiangalia site kama amazon utaziona.

Kibongo bongo to be safe tafuta cable za Macbook maana mac miaka yote zina hii feature hivyo type c yake itakuwa nazo.

Na type C za thunderbolt zinapitisha umeme hadi watts 100 hivyo ukiona chaja ya Macbook ina cable ya type C watts zaidi ya 50 ujue ndo yenyewe hio cable za kawaida za simu hazina uwezo huo bila kuwa na uwezo wa thunderbolt.

Pia nyengine zinaekwa kialama cha radi kwenye kichwa.
 
unaconect vipi sasa?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,538
2,000
unaconect vipi sasa?
unamaanisha gpu sio? kunakuwa na enclosure, hio enclosure unachomeka gpu na kwenye umeme, then ile cable ndio inaconect enclosure na pc

inakuwa kama hivi
71GH%2BOniWhL._SL1500_.jpg

ukishachomeka gpu unafunga then port zake ndo unachomeka cable
71zaKF0ws3L._SL1500_.jpg

71jriWbhLoL._SL1500_.jpg

sema bei zake kwa sasa ni ndefu kama $200 hivi, plus gpu ya maana hapo ni laki 8 pengine.
 
Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
456
250

Mkuu, msaada please! link ya kudownload hizi cracked software tatu tafadhali.

Fl studio 12

Adobe illustrator

na Adobe Edition

ubarikuwe sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ilemi mahome

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
744
500
chief msaada tutuni naomba nisaidie link ambayo itanisaidia kudownload na music from youtube
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,538
2,000
chief msaada tutuni naomba nisaidie link ambayo itanisaidia kudownload na music from youtube
Zipo apps nzuri, kama una smartphone unaweza ukaweka. Zipo pia website kama mp3skull.to sema hizo website zina matangazo ya kutosha kama huna uzoefu utaondoka na malware kibao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom