Msaada wa maelezo kuhusu Speakers za bluetooth

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,650
Reaction score
21,522
Wadau najua teknolojia inakuwa kwa kasi sana na kuna vingi vipya vya kujifunza kila uchao.

Mie ni muhenga ila napenda sana mziki mkubwa. Kuna hii teknolojia ya Bluetooth speaker je nzuri ni zipi na zinafanyaje kazi kama unataka kutumia nyumba nzima mpk jikoni vyumbani nk. Na je speaker zipi ni bora na lipi unatakiwa ulijue kabla hujanunua speaker hizi.

Naomba wajuzi na wakali wa hizi kazi mje kutuelewesha nimeona zinashika umaarufu sana duniani. Tofauti yake na home theatre hizi za kawaida ni ipi.

Ninatumia headphone za Bluetooth za Sony ni nzuri sana na pia nina home theatre 5.1 ya Sony ila nataka kuhamia kwenye Bluetooth speaker nijuzeni Zaidi kuhusu hiyo makitu
 
mkuu za bluetooth na waya ni vile vile, hizo ni njia tu za kupitishia data moja inatumia bluetooth na nyengine waya.

weakness kubwa ya bluetooth ni bandwidth ndogo, bluetooth haina speed kubwa ya kuhamisha data hivyo utakapo play sauti yenye quality kubwa kama alac, flac na lossless sound nyengine hazitasikika vizuri.

ukitaka quality nzuri na iwe wireless angalia technology ya wifi na technology zinazotokana ma wifi kama widi, miracast, airplay, DLNA etc.

ila kama matumizi ni ya kawaida bluetooth ipo poa.

kama unaweza agizishia online angalia hizi smart speakers hasa za amazon naona wanazi discount sana mpaka chini ya dola 50 sometime mpaka 30. smart speaker zinakuwa na personal assistant unaziagiza tu kwa sauti.

hapa bongo ipo michina ya kutosha around 15,000 mpaka 25,000 hivi.

41iz5Tw82IL._SY400_.jpg
 
asante sana kwa ushauri na je zina mdundo mkubwa kama speakers nyingine za home theatre nk na je naweza kutumia kwenye gari?
 
Chief-Mkwawa naomba unipe maujuzi kwa faida ya wengi kwa ufupi kuna nyumba nimejenga nataka nihamie soon sasa nataka niweke blue tooth speakers niwe nazicontrol mwenyewe mpk chooni
 
mkuu kwa uelewa wangu bluetooth si kama waya linapokuja suala la kuunganisha speaker nyingi.

mfano simu ya kawaida haiwezi connect spika mbili za bluetooth, simu za kisasa kama samsung galaxy s8 ndio zinaweza, hivyo unaona jinsi ilivyo limited, na hata hizo za kisasa kuna limit ya idadi.

hivyo unapokuwa na source ya kutolea sauti mfano deki au tv inatakiwa issuport hizo multiple bluetooth speaker. hapa inabidi uangalie.

kwa wenzetu wazungu huwa nyumba nyingi zinakuwa na router ambayo inasambaza wifi nyumba nzima. ukiwa nayo hii unaweza tafuta wifi speaker ukazieka unapotaka kupitia ile router zikapiga mziki. na uzuri wa router unaicontrol na simu, laptop au kifaa chochote chenye wifi ambacho ni smart.
 
maelezo mazuri sana kaka sasa kumbe natakiwa kununua speaker zenye wifi na sio Bluetooth? maana uwa naona kwenye video baadhi ya watu utumia ipad kuwasha music kwenye wireless speaker hebu nijuze kabla sijafanya maamuzi
 
yah wifi ni bora kuliko bluetooth. na hata za bluetooth unaweza zicontroll na ipad ila tatizo ni ku controll multiple speaker. utaweza controll speaker moja tu na ipad kutumia bluetooth.

ila speaker za wifi zitakuja na kitu kama app hivi unatapata options kibao.
 
okay mkuu kwa uzoefu wako speaker aina gani za wifi nichukue yaani zenye features zipi na bei ina range vipi?
 
mkuu sina uzoefu sana na hizo speaker, naona online wengi wana recomend speaker za sonos bei zake ni $100 kupanda,

mtafute huyu jamaa atakusaidia
CORAL
 
Wadau najua teknolojia inakuwa kwa kasi sana na kuna vingi vipya vya kujifunza kila uchao.

Mie ni muhenga ila napenda sana mziki mkubwa. Kuna hii teknolojia ya Bluetooth speaker je nzuri ni zipi na zinafanyaje kazi kama unataka kutumia nyumba nzima mpk jikoni vyumbani nk. Na je speaker zipi ni bora na lipi unatakiwa ulijue kabla hujanunua speaker hizi.

Naomba wajuzi na wakali wa hizi kazi mje kutuelewesha nimeona zinashika umaarufu sana duniani. Tofauti yake na home theatre hizi za kawaida ni ipi.

Ninatumia headphone za Bluetooth za Sony ni nzuri sana na pia nina home theatre 5.1 ya Sony ila nataka kuhamia kwenye Bluetooth speaker nijuzeni Zaidi kuhusu hiyo makitu
Tafuta hii speaker mkuu, hautoamini kwa udogo wake lakini mdundo unaotoka ni shidaa. Bei yake ni laki moja tu, kwa kuagiza online.
Anker SoundCore 2 Portable Bluetooth Wireless Speaker Better Bass 24-Hour Playtime 66ft Bluetooth Range IPX5 Water Resistance
ba639dcb6a177d80b2f76274c01e39fb.jpg

2cab8cf47bf2a66b6bf4dcf7916b9857.jpg

3b4e25d3781f4b83e649027e41c543e7.jpg
 
ngoja niagize moja ya majaribio. Mtandao gani haswa naweza kupata kwa urahisi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom