Msaada wadau simu inagoma kupakuwa App playstore

kelnmyg

Member
Jan 31, 2012
28
15
Wakuu habari ya leo?

Simu yangu inanigomea kupakua app toka play store. Kama kuna mtu mwenye kujua mbadala wa play store and utatuzi kuweza kuifanya play store kuendelea kufanya kazi naomba msaada tafadhali.

Asante
 
Ingia settings
Nenda kwenye apps
Tafuta play store
Bonyeza kweny storage
Afu clear cache
Kadownload tena itakubali tuuh

yess BiShoo haswaaAaa
 
Clear data mkuu sio caches tu futa data pia ijianze upya itakaa poa
Asante, nimefanya hivyo na imegoma bado! play store inazunguka tu ikiandika waiting for download na baada ya muda unacancel
 
Na je? Kama umeingia playstore kuna app zote zinakubali ila kasoro moja tu inaitwa shazam inagoma kabisa inaandika waiting for download!! Inazunguka wee harafu inagoma shida ni nini!
Asante, nimefanya hivyo na imegoma bado! play store inazunguka tu ikiandika waiting for download na baada ya muda unacancel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom