Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,265
- 12,732
Habari JF,
Natumai wote hamjambo na mko njema kabisa! Na kama ni hivyo ashukuriwe bwana..
Sina Mengi sana zaidi niko na jambo moja nataka kuwafahamisha ndugu woote walioziweka hizo simu ( hazitumiki, hawazitumii ) sababu ya kusahau Apple id..kwamba sasa i cloud inafyatuliwa ili mradi IOS ianzie 13..6s, kuendelea mpaka iphone 11.
Angalizo ni vizuri simu ikawa ya kwako..muda ni masaa mawili na kiasi ni 150 tu. Kwa anayehitaji hiyo huduma anaweza nicheki kwa maelezo zaidi au pia kama kuna maswali unaweza uliza hapa ama pm. Ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app