Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

SECTION A: FEW POINTS ABOUT GOOGLE PIXEL 8 PRO Hapo juu ni Google Pixel 8 (kushoto) na Google Pixel 8 Pro kulia. Kampuni ya Kimarekani ya Google wametoa Google Pixel 8 series juzijuzi tu na...
26 Reactions
80 Replies
13K Views
Wakuuu nakuja kwenu nataka kununua sumsang A35 oringal full box,Niko dar maduka Gani wanauza samsung original
3 Reactions
32 Replies
2K Views
🔬 Title: Nodal and Least-Cost Analysis on the Optimization of Natural Gas Production System Constraints to Extend the Plateau Rate of a Conceptual Gas Field 📘 Published in: Geoenergy Science and...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
Ninafikiria nitakapokuwa na makazi yangu ya kudumu niwe na chanzo cha nishati ya kupikia ya biogass (nimeshindwa kupata kiswahili chake), ila sina maarifa ya kutosha kuhusiana na chanzo hiki dhidi...
2 Reactions
37 Replies
19K Views
DNS Ad-Blocking Provider Analysis Provider Comparison Table Provider Primary/Secondary IPv4 Primary/Secondary IPv6 Ad-Blocking Efficacy Summary Privacy Policy Summary AdGuard DNS Primary...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Kampuni ya Xiaomi mara nyingi inakua ndo miongoni mwa brand za mwanzo sio za Google kuweza kutoa mfumo mpya wa Uendeshaji wa Android (Os) kwa vifaa vyake. Tayari Kampuni ya Xiaomi imeshatoa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnipe mwongozo wa simu ambayo angalau inaweza nisaidia kupiga picha nzuri za kupost mtandaoni bidhaa za duka walau nikapata quality inayokubalika kwa bajeti hiyo, asante!
2 Reactions
18 Replies
1K Views
HATARI TATU KUBWA ZA KIUSALAMA NA UTENDAJI NDANI YA SIMU ZA ANDROID – NA NAMNA YA KUZIKABILI KITAALAMU Imeandikwa na Goodluck Maleko J Katika dunia ya sasa ya kidigitali, simu janja (smartphones)...
2 Reactions
0 Replies
392 Views
Wasalaam wakuu, Uzi huu utumike kupashana habari kuhusu epson printers, iwe ushauri, au kutatua matatizo mbalimbali ya hizi printer, basi taarifa zake zikusanyike hapa kuwasaidia watumiaji wengi...
4 Reactions
229 Replies
37K Views
Unataka kipato cha pembeni bila kuwa na ujuzi mkubwa wa teknolojia? Karibu kwenye ulimwengu wa Canva — zana rahisi inayokuwezesha kutengeneza miundo mizuri na kuuza huduma zako mtandaoni au kwa...
1 Reactions
0 Replies
552 Views
FAHAMU KWA UNDANI IP ADDRESS NI NINI NA INA UMUHIMU GANI KATIKA MTANDAO? Huwezi kuwasiliana kwenye intaneti bila ‘kitambulisho’. IP address ndicho kitambulisho hicho kimya, lakini cha msingi...
3 Reactions
4 Replies
772 Views
Kwanini teknolojia hii inafeli kwenye ubongo, ninamaanisha tunataka tufanye cloning ya mr X ili aweze kufanana na clone ya ubongo wake, kwa kila kitu
1 Reactions
0 Replies
301 Views
Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satellite 📡 yake ya kwanza angani ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa ujuzi , ubunifu na Teknolojia. Chuo cha DIT...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Kama unatafuta Social media manager nipo Dar es salaam, Mbezi - nasimamia mitandao ya kijamii pia naweza kusimamia tovuti (website) Facebook Instagram Twitter TikTok Na mitandao...
1 Reactions
2 Replies
248 Views
Maendeleo ya Teknolojia yanazidi kwenda Kasi ulimwenguni huku Tanzania kuleta Mabadiliko kadhaa kwenye sekta ya Tehama nchini. Kuna mambo mengi Tanzania inakwenda kufanya mwaka 2026 ambapo...
0 Reactions
4 Replies
853 Views
Habarini Za Mchana Huu , Poleni na majukumu , nimekuja kwenu WanaIT mnisaidie swala hili , maana swala hili limenishinda kwa kutumia mawazo yangu pekee. Majuzi kuna Hp Chromebook Ram 4 na...
0 Reactions
4 Replies
509 Views
Nazani umeshawahi kuliona neno ili LTE au LTE+ kwenye simu wakati umeshawa data unalikuta liko juu karibu na Alama hii 📶 kwenye simu yako. Unajua kwanini bando lako linakwisha haraka tu👋 Leo...
1 Reactions
11 Replies
659 Views
Wakuu, samahini nilikuwa naomba niuliza kwa wanaojuwa kati ya hizi programming skills job. 1. Full stack web developer, 2. Block chain developer, 3. Machine learning and Artificial intelligenece...
0 Reactions
5 Replies
979 Views
Wafanya biashara na wajasiria mali wengi Tanzania wanashindwa kutumia au wana chukulia wepesi kiungo hiki muhimu kwenye biashara na kampuni unapojitanabaisha kuwa wewe ni kampuni au biashara...
0 Reactions
3 Replies
313 Views
Habari wadau nataka ninunue simu mojawapo kati ya izi samsung a32 au redmi note 10 naomba ushauri nichukue ipi cc Chief-Mkwawa
3 Reactions
90 Replies
15K Views
Back
Top Bottom