Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wadau. Nina printer yangu, epson L3210, Nozzle check ya printer Iko safi, nimefanya power cleaning mara kadhaa Ila Bado ukiprint kuna mistari midogo inaacha. Mistari myeupe ambayo inakata...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Elon Musk has just unveiled XChat, a revolutionary new platform that is set to redefine private communication. With a strong focus on security and user privacy, XChat offers a suite of features...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kompyuta ya AI ni Nini, na Inatofautianaje na Kompyuta ya Kawaida? Na ITS MALEKOGJ Katika zama hizi za maendeleo ya kasi ya teknolojia, kila siku tunasikia maneno mapya. Mojawapo ni “AI PC” — au...
5 Reactions
3 Replies
739 Views
Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Najaribu jiuliza kwanini. Data bundle zinawahi kuisha sana . Hata kama HUFUNGUI ZILE APPS ZINAZOKULA MB SANA .....MFANO IG , TIKTOK , JUST NI JF TUU FB YENYE LITE DATA SAVER , KARIBUNI...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu napataje Tshs 100k kwa mwezi. Kupitia skills hizi 2d drafting & CAD kwa kuchora michoro ya majengo, mitambo na frontend web development (html, css, JavaScript) kwa kutengeza tovuti za...
2 Reactions
17 Replies
631 Views
Sekta ya Akili Bandia (AI) inakabiliwa na mvutano mkubwa kati ya uwekezaji na ahadi za kiteknolojia ("hype") dhidi ya changamoto halisi za utekelezaji na maadili ("uhalisia"). Mfano mkuu wa hatari...
3 Reactions
4 Replies
453 Views
Salamu, katika pitapita zangu za hapa na pale mitandaoni nimetumia muda kidogo kulinganisha teknolojia hizo mbili hapo juu. Na matokeo yake nikagundua 5G ipo juu zaidi ya starlink kwa karibu...
4 Reactions
192 Replies
7K Views
Hakuna aliyekua anabisha Htc alikua Kampuni Tishio kwenye matoleo ya simu miaka ya Nyuma hakuwa na mpinzani kabisa. Lakini baada ya miaka kupita Htc alipoteza dira na kupotea kwenye Ramani, Je...
4 Reactions
1 Replies
430 Views
Habarini. Sote tulishuhudia Mtaalamu kigogo alivyosumbua. Wakuu nimeona nije na swala hili kwamba huyu kigogo umahiri wake kiweza kukwepa mishale enzi na awamu Ile technically ikoje hii.? Msaada...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa Nahitaji kununua laptop kwaajili ya mambo yafuatayo Kufanya basic coding kwa kutumia HTML,PHP,Javascript,C# Kutumia application za Adobe kama Lightroom,InDesign, na Photoshop...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Utapeli mitandaoni kupitia phishing link na jinsi unavyoweza kujilinda. Siku hizi karibu kila kitu kiko mtandaoni kutoka kwa mitandao ya kijamii, benki, hadi mawasiliano ya kila siku. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Habari zenu wadau Natoa huduma za kudesign website kwa gharama ndogo tu ya tsh 200,000. Kwa mawasiliano zaidi njoo PM Location nipo Dar-es-salaam na Kilimanjaro. Kwenye attachment ni sample ya...
0 Reactions
4 Replies
489 Views
1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi tofauti na huku android kuna...
107 Reactions
644 Replies
74K Views
Naombeni Masada namba yangu imekataa kabisa kuji register kwenye whatsapp nimejaribu sana, Lakini inaandika hivi
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver, Bei 30,000 Tsh. Programu ya data saver itakusaidia kuepusha Windows OS kujiupdati na kuzuia background usage la...
0 Reactions
2 Replies
365 Views
Changamoto gani ya software unayo kwenye kompyuta Yako? Nikusaidie Napatikana mkoa wa dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
0 Reactions
0 Replies
251 Views
💭 Teknolojia ya akili bandia inazidi kurahisisha watu mambo kwa kufanya mambo magumu kuwa mepesi na kwa haraka ndani ya muda mfupi tu. 💭 Mfano kwa kuweza kuediti picha yako au kuunda kitu basi...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Just in Android 15 ndani ya Google Pixel. Kwa harakaharaka Google wameamua kuwa serious kwenye swala la security kwani wameleta private space inayokuwezesha kuweka data zako na ku run application...
7 Reactions
74 Replies
4K Views
Habar wakuuu, Naomba kuuliza kwa watu wanaojua n vfaa gani hawa watu wanaotafsiri muvi hua wanavitumia ili kukamilisha kazi hiyo? Nawasilisha. Karibuni kwa maoni
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom