Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari, Ni muda sasa nimekuwa nikifungiwa WhatsApp hadi natamani kuifuta kabisa, kila niki submit wanaifungua baada ya masaa 24 kisha haimalizi at a dakika 5 inafungiwa tena naomba msaada.
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Unahitaji social media manager? nitakuwa natengeneza simple poster kuweka posts kwenye account kusimamia akaunti na mengineyo Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
0 Reactions
7 Replies
492 Views
Nazani bado unajiuliza maswali Mengi kuhusu simu hii ambayo inaitwa Samsung Galaxy Note 20 Ultra. iliyotoka mwaka 2020 ikiwa na uwezo mkubwa wa Hali ya juu , muonekano wa kipekee na Teknolojia ya...
1 Reactions
3 Replies
612 Views
Epson hata nimeitumia kidogo sana kwa matumizi ya ndani ina wino ndani haujatumika hata asilimia 90 na bado chupa nyeusi nyingine imejaa. Bei 350000 tunazungumza. Delivery around dsm.
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Wakuu, Tunatambua kuwa inawezekana ukataka kufuta akaunti ndani ya mtandao wa JamiiForums. Tokana na changamoto anuai, hatujaweka urahisi wa kufanya hivyo kuepusha wadau wanaoanzisha vurugu na...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
CHATGPT Bingwa wa AI !!!! 💭 Je Unapenda kubadilisha Picha yako kuwa kwenye muundo wa Katuni ?? Wengi wanakuambia nitatumia sijui adobe Photoshop? Cartoon maker ?? Hapana 👎🏾, unaweza...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza, China imeandaa mechi ya soka inayochezwa na roboti wa umbo la binadamu (humanoid robots) wanaojiendesha kikamilifu kwa kutumia akili bandia (AI), bila msaada wa binadamu wakati...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Habarini wadau naomba support yenu kufollow our insta Account 🙏🏾 hapo kwenye picha AU Bonyeza link hii kuingia https://www.instagram.com/7spares?igsh=bWx5dDB5c3BqazU5 Nashukuru kwa Mda wenu...
1 Reactions
2 Replies
244 Views
💻 Nilianza na simu yangu. Sio laptop. Wakati nikiwa chuoni, nilikuwa natumia simu yangu kujifunza HTML na CSS kupitia w3schools na tutorials za YouTube. Nilitengeneza web pages ndogo ndogo...
5 Reactions
12 Replies
848 Views
Wapenzi wa Movie Kuna movie ya zamani Sana Tom Cruise kijana mdogo inaitwa The Color of money,. Story,Kuna mzee ujana wake alikua fundi Sana wa kucheza Pool table alikua maarufu na ndoto yake aje...
30 Reactions
61 Replies
4K Views
Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network. Na ubaya...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Welcome all to PayPal withdrawal help. Inbox me asap.
2 Reactions
5 Replies
495 Views
Najua watu wengi tumeutizama mzigo wa squid game unaelewa jinsi ulivyo wa kibabe au Kuna MTU wa kupinga [emoji6]!! Sasa Netflix wamekuja kivinge kabisa ile series Yao ya 𝐒𝐪𝐮𝐢𝐝 𝐆𝐚𝐦𝐞 wameamua...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Inawezekana mwezi huu kabla hujafikia tamati basi Tecno wanaweza kukuletea simu mpya yenye uwezo wa kujikunja mara Tatu yani Tripple - Fold smartphone. Simu hii itakua ni toleo la muendelezo...
0 Reactions
11 Replies
634 Views
HABARI WADAU, Kichwa kinajieleza, nimejaribu kutafiti nikabaini Google inc ambao ndio wamiliki wa Android wameblock whatsapp na Youtube kwenye Android 7 kushuka chini, japokuwa whatsapp wenyewe...
1 Reactions
8 Replies
847 Views
Siku hizi kwenye mabenki, mashirika, apps, kusajili line, n.k. wanahitaji kupiga picha ya vidole kwa kamera badala ya kugandamiza kidole kwenye kifaa cha biometric. Hili linaibua wasiwasi mkubwa...
0 Reactions
8 Replies
653 Views
Kichwa cha thread cha husika,natafuta site isiyo ya kulipia,itakayokuwa inaniwezesha kubadili still picture kuwa AI Video.Natanguliza shukrani
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu habari za wakati nime create social media chat app link hapo chini kujaribu https://six-app-3789b.web.app Mods msifute uzi wangu huu
2 Reactions
6 Replies
410 Views
Laptop Yako Inaweza Kuibiwa Bila Kuguswa – Ukweli wa Remote Access Unaofichwa na Wataalamu" By ITS MALEKOGJ Je, umewahi kujiuliza kama kuna mtu anaweza kutumia laptop yako bila wewe kujua? Je...
3 Reactions
1 Replies
453 Views
Hello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya! Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya...
41 Reactions
7K Replies
832K Views
Back
Top Bottom