Ruby ni moja language ipo underrated sana na developer wengi
Side project nyingi hasa web development na API mimi huwa natumia ruby, pia nichanguo langu la kwanza
Ni mara chache sana unakutana...
Nimekua nikitumia simu hii kwa muda mrefu tangu mwaka 2019 hadi nilipopata changamoto ya kugoma kuwaka baada ya kuinstal App ya kudownload content mtandaoni ambayo niliitoa nje ya playstore...
Akili Bandia ya Bard ambayo inamilikiwa na Google ili kushindana na Akili Bandia ya ChatGPT imefanya mabadiliko.
Google Bard imeongeza upatikanaji wake kwa lugha zaidi ya 40 ikiwemo lugha ya...
wakuu habari za wakt huu,
Nina shida kidgo kwenye PC yangu
Jana nilikuwa naangalia movie usiku ilipoisha nikazima nikalala sasa Leo mimeamka nawasha haiwaki kbsa ila port za.usb zote zinafanya...
WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
Ndugu zangu naomba kujua mengi kuhusu hii simu.
1. Ubora wake
2. Upatikanaji wake
3 bei yake.
4. Wapi niipate
NB: mimi ni muumini wa simu zenye vioo vikubwa.
China imechukua hatua kwa kupiga marufuku rasmi matumizi ya chips (vipuri vya kielektroniki) kutoka kampuni ya Marekani, NVIDIA. Hatua hii inaonesha wazi kuwa China haiko tena tayari kutegemea...
M.2 SSD Kile Unachohitaji Kujua Kuhusu Storage inayosifika kuwa na speed ya hali ya Juu kwa Kompyuta yako ....
Katika ulimwengu wa teknolojia ya kompyuta, masuala ya kasi ya ufanyaji kazi na...
Za Weekend Wakuu!
Matoleo mapya ya simu tofauti katika miaka ya karibuni imenipa tafakari hii, kwamba hakuna features mpya kulinganisha na miaka ya nyuma kabla ya iOS na Android, na miaka ya...
Data kadhaa za ID vya kuingia hufichua mojawapo ya ukiukaji mkubwa zaidi wa data katika historia, ukiwa na jumla ya ID cha kuingia cha bilioni 16 kilichofichuliwa. Data ina uwezekano mkubwa zaidi...
KWANINI FENI YA KOMPYUTA YAKO INAPIGA KELELE KUPITA KIASI? NA NINI CHA KUFANYA
Katika ulimwengu wa teknolojia, kuna tatizo ambalo watumiaji wengi huliona dogo lakini lina athari kubwa kwa...
Kwa watumiaji wengi wa vifaa vya Apple, hili halitakuwa tatizo. Hata hivyo, baadhi ya iPhone, iPad, na iPod touch za zamani ambazo haziwezi kusasishwa zaidi ya iOS 15 au iPadOS 15 hazitaweza tena...
In-Depth Investigation of Moving Averages for Trading Systems
Introduction:
After two decades immersed in the ebb and flow of financial markets, I've seen countless trading strategies rise and...
As we race toward 2030, one thing is clear: how people make money is going to change dramatically. The rules of work, business, and value creation are being rewritten — and those who don’t adapt...
Wakuu naomba maelekezo jinsi ya kutuma salio kwa jamaa mwenye Airtel kwa kutumia USSD code zinazoanza na * (star), kama ilivyo ya tiGo; yaani: *101*number*amount# {kisha send}.
Naomba maelekezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.