Ushauri wa kitaalamu samsung A32 au Redmi Note 10

mikumiyetu

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
1,309
942
Habari wadau nataka ninunue simu mojawapo kati ya izi samsung a32 au redmi note 10 naomba ushauri nichukue ipi cc Chief-Mkwawa

yussfar-20210415-0001.jpg
 
Acha Nipate Madini Ila Hilo La Global Version
Naona Ndiyo Changamoto Atachukua Kitu Bongo
Isitoe Ushirikiano.
Global version inakuwa na huduma za Google moja kwa moja VS Chinese version haina huduma za Google. Lakini zote zinashika mitandao vyema.

Ili kuweka huduma za Google kwenye Chinese version kuna utaratibu wa kufuata na mara nyingi huwa inaleta usumbufu kutumia Google apps kwenye Chinese versions.

Nakushauri utumie simu yenye Global version. Maana nina experience ya Redmi K30 4G inazingua sana kutumia Google apps ila vingine vyote viko sawa.
 
Na mimi naunga tela Mkuu Redmi note 10, A3x nyingi Samsung wanazingua.
Kaka simu yangu aina ya Mi A2 lite ikiwa imesleep kisha nikaiamsha mfano kwa kutumia finger print yaani nikigusisha finger print yangu kwenye sensor ya simu ya finger print ili simu iamke badala ya simu kuamka kama kawaida inaamka screen yake ikiwa full nyeusi kama unavyoona hapa.Hii hali hutoweka kama nikigusa button ya home ya simu.Je,hali kama hii inaweza kuwa inasababishwa na nini?
2104140143.jpg
 
Kaka simu yangu aina ya Mi A2 lite ikiwa imesleep kisha nikaiamsha mfano kwa kutumia finger print yaani nikigusisha finger print yangu kwenye sensor ya simu ya finger print ili simu iamke badala ya simu kuamka kama kawaida inaamka screen yake ikiwa full nyeusi kama unavyoona hapa.Hii hali hutoweka kama nikigusa button ya home ya simu.Je,hali kama hii inaweza kuwa inasababishwa na nini?View attachment 1753583
Jaribu ku disable Ambient display (Always on display) setting zake unazipata kwenye Google now settings.
 
Back
Top Bottom