Linda Browser Yako Kabla Haijawa Silaha ya Wizi wa Data

Linda Browser Yako Kabla Haijawa Silaha ya Wizi wa Data

its MalekoGJ

Senior Member
Joined
Aug 27, 2020
Posts
136
Reaction score
292
Unafikiria Unatumia Browser? Kumbe Browser Ndio Inakutumia Wewe Hii Ndio Njia Pekee ya Kujilinda Kabla Hujaibiwa Kila Kitu
Kwenye zama za taarifa, kivinjari chako ni mlango wa fahamu zako na pia, ni mlango wa adui zako."
Ni rahisi kufikiri kwamba browser ni chombo tu cha kutafuta taarifa. Lakini kwa wataalamu wa cybersecurity, browser ni eneo la vita. Ni mahali ambapo data zako binafsi hukusanywa, hudukuliwa, na huchambuliwa bila wewe kujua.

Katika enzi hii ya surveillance capitalism, data ni pesa — na kivinjari chako ndicho kinachofungua kila kitu:
Benki, barua pepe, mitandao ya kijamii, kamera ya laptop, hadi fikra zako za Google search.

Extensions za Chrome zimegeuzwa kuwa trojans mpya.
Hii siyo tetesi ya mitandao. Wiki hii, takriban 15+ extensions maarufu ziliripotiwa kufanywa backdoor na walaghai wa kimtandao.

Unafanya update kama kawaida… kumbe umejifungulia spyware.

Je, kivinjari changu kinanilinda au kinanifuatilia?

Je, nina udhibiti wa data yangu ya utambulisho, au nimeshawahi kuiuza kwa “Free Extension”?

Je, Tanzania tumejenga uwezo wa ndani wa kujilinda, au tumebaki kuwa consumers wa surveillance tools kutoka nje?

JILINDE KWA KUFANYA HIVI
Fungua Chrome Settings > Privacy & Security kisha fanya yafuatayo:

1. Washa "Always Use Secure Connections"


2. Washa "Warn You About Insecure Sites"


3. Tumia Secure DNS (Cloudflare au Google)


4. Geuza Safe Browsing → Enhanced Protection


5. Disable extensions zote usizozijua


6. Weka password manager yenye encryption (kama Bitwarden)

Cybersecurity sio tu technical ni kitendo cha kujilinda kisiasa na kielimu.
Usalama wa browser ni usalama wa tabaka la fikra.

"When you control the browser, you control the belief system."

UNATAKA LAPTOP ILIYO TAYARI KWA USALAMA WA MAARIFA NA TAARIFA?

Tunakupa:

Core i5/i7

SSD 256–512GB

RAM 8GB–16GB

Pre-installed DNS encryption, privacy browsers, tools za ethical security

Ready kwa kazi za journalism, coding, research & activism


WhatsApp: 0675 031 229 Tuma neno “LAPTOP”
Tunatuma popote Tanzania – bei kama bure, ubora kama silaha.
SHARE AND follow me On X

@GoodluckMalekoJ

#DigitalSovereignty #InfoSecAfrica #BrowserHijack #SurveillanceCapitalism #TanzaniaCyberPolicy #DataProtection #ChromeSecurity #MalekoBytes #PanAfricanCyberLiteracy #OnlineDefense #AcademicCyberThinking
 
JF ndo inataka utumiaji wa browser, inakera hatariii.
Aaaah
 
1752862226339.png
 
Back
Top Bottom