Tatizo: Smart tv kuonyesha mistari kwenye screen

Tatizo: Smart tv kuonyesha mistari kwenye screen

survivor03

Senior Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
131
Reaction score
21
Habari wakuu naomba mwenye kujua kuweza kulitatua hili tatizo la smart tv yangu ya tcl 55" kuonyesha vimstari vidogo kimlalo (horizontal)

Vimstari vipokwa chini na kidogo kwa kati je hili linaweza kusababishwa na hitilafu upande wa cable za umeme?

Screenshot_20201009-221539_Gallery.jpg

​
 
Tumalizie wakuu hivi hizi TCL smart zinau bora mzuri? Je Tv gani nzuri smart mtamshauri mtu anunuwe? Asante
 
Inatatizo la video card,
Kama Ina warranty irudishe wakubadilishie card au wakupe mpya.
Ki rahisi rahisi tu tena kwa maduka ya bongo?!! Hapo ni kujipanga tu, kivyake vyake, warrant policies kwa bongo ni ngumu sana, hata ukizipitia, ni kumuomba mungu tu, kwani utakuta hadi muuzaji awajibike kwa tatizo la kifaa hicho ni asilimia 0.000001!!
 
Kama haikuwai kuguswa kwenye kioo bhas shda iko kwenye Card jaribu kurestore kwanz
 
[emoji23][emoji23] Umeleta Kwenye Jukwaa la Afya Sio
 
Kweli umepagawa mkuu, Hadi umeamua kuileta tv Hospitalini kitengo cha upasuaji 😂
 
Tumalizie wakuu hivi hizi TCL smart zinau bora mzuri? Je Tv gani nzuri smart mtamshauri mtu anunuwe? Asante
Smart TV Bora na ya uhakika nunua Samsung tu. Mie ninayo Ya Samsung smart TV ina mwaka wa 6 haijawahi kusumbua hata kidogo. Ila bei imechangamka mkuu.
 
Smart TV Bora na ya uhakika nunua Samsung tu. Mie ninayo Ya Samsung smart TV ina mwaka wa 6 haijawahi kusumbua hata kidogo. Ila bei imechangamka mkuu.
Mkuu we umeotea org, Ila sahv tv nyingi zinazoleta ni midosho Yan km n mtu makini hata ukiangalia tuu unaweza kujua kuwa n feki
 
Smart TV Bora na ya uhakika nunua Samsung tu. Mie ninayo Ya Samsung smart TV ina mwaka wa 6 haijawahi kusumbua hata kidogo. Ila bei imechangamka mkuu.
Samsung yangu Imetokewa na weusi pembeni
 
Back
Top Bottom