Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nenda playstore tafuta app inayoitwa ADGUARD ndo suluhisho pekee picha ya hiyo app imeambatanishwa Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wana jamii. Baada ya kupata misukosuko kwenye kazi nikawa sikujipanga vizuri kimtaji nikageukia kwenye Carrier yangu ya zamani ya ublogger. Nikanunua site na account yake ya...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Nmeroot techno boom j8 na nikijarbu kuweka baadhi ya stail ya maandishi kutoka ifont inaandka hvyo nini suluhu
0 Reactions
2 Replies
642 Views
Hivi kuna mtu aliyewahi kufungiwa akaunti yake ya Adsense (Adsense Disable) halafu akapewa option ya ku appeal na akafanikiwa kurudisha akaunti yake? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaams WanaJF wote na wageni pia. Ninapata kigugumizi kuhusu 'Review' za hizi TV kuhusu ubora wake na matatizo. Kuna Hawa Sony ambao wametamba kwenye soko Muda Mrefu, Kuna Samsung ambao...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Account yangu ya twitter imekuwa suspended for following so many people kwa wakati mmoja. It's about a month now I'm trying to get it back with no success. What should I do?
0 Reactions
2 Replies
674 Views
Wakuu habari za muda huu. ninan shida hapa kwenye hiisimu yangu ambayo ni tecno W3. Hii simu sasa hivi nikiiweka tu betri inajiwasha yenyewe kabla hata sijaiwasha. Na ikijiwasha inaandika tu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Asalam alleykum wana JF, Naomba kujua ni kweli kuna hii kitu mara naona sijui kupata hela online kwa kutumia bundle lako tu, mara sijui kupata vocha bure online Mara sijui kupata 5GB za...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu wapendwa nawasalimu kwa majina makuu. Waziri Mkuu ametoa maelekezo kuwa tufanye kampeni za kistaalabu zisizo beza, kashfu au tukana mtu au vitu vilivyofanywa na seriali. Naomba wenye clip...
1 Reactions
2 Replies
602 Views
wakuu naomba mwenye kujua jinsi ya kupiga simu kwa mtu zaid ya mmoja (conference call) na kuongea nao at the same time through android phone anisadie.
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Kama mnavyojua watoa huduma mbalimbali wanavyoendelea kuboresha biashara zao ili kuwavutia wateja, ambapo sasa naongelea virtual card zinazotusaidia kufanya manunuzi mtandaoni. Airtel Money...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Jaman naombeni mnisaidie namna ya kudownload window 10 mpka sasa bado nmereserve tu bt cjui namna ya kuipata
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau hapa tusaidiane kama una project yoyote kuhusu Electrical Engineering. Karibuni wadau wa JF
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Eid Mubarak jamiiya, Wakuu jana niliweka uzi wakuuliza hii kitu naona mods wakapita nao, Kwa mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia antenna hizi naomba atupe uzoefu wake hapa je ni nzuri zinasaidia...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Jamani rejeeni kichwa cha habari hapo juu,hivi unafanyaje kujua served password kwenye simu ya mtu mwingine,yaani ameugwa WIFI lakini aliyemuunga kaficha password huwezi ziona kwenye hiyo simu?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari humu kumekuwa na uanzishwaji wa kitu kinachoitwa Silicon Dar Kwamba wamechukua jina la Silicon Valley, Califonia eneo maarufu kwa teknolojia wao wamekuja na Silicon Dar Eneo hilo la...
8 Reactions
166 Replies
16K Views
Natumia laptop nataka Apps nzur za kuandikia hadithi maana mimi naijua hii ya word tu
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu Nina hii device shida moja imetokea pen yake imeisha nguvu. Kuja kucheki kumbe Inatumia betri AAAA, Nilifikiri ni rahisi kuzipata lakini imekuwa ni changamoto. Nyingi zipo za AAA Tu. Mdau...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa ambao hatuelewi chipset, hii ndio brain ya simu. Hiki ni kifaa kinachojumuisha vifaa vyote vya simu ama vinavyofanya simu ifanye kazi kama processor (or CPU), graphics processing unit (GPU)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamii na Skukuu ya Eid njema. Nimenunua Tv ya Samsung Smart tv used, nimeunganisha internet na simu yangu na imekubali vizuri tu na simu yangu ina Gb za kutosha za kuweza kuperuzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom